FACTS 11: Kama wanasayansi wangesoma BIBLIA, Technology ya sasa ingekuwa Zamani Sana

Haya bana....

Ngoja nikuache tu....
 
Hivi unapo kamatwa na kupelekwa mbele ya Pilato na kulalamikiwa, wewe ndio unakuwa shahidi? kitabu chako cha Bibilia kinalalamikiwa maandiko yake, huwezi kunipa ushahidi toka kwa mlalamikiwa

halafu Mungu sio Bibilia, Quran wala Veda nk, hayo ni mawazo ya wanadamu juu ya Mungu, yapo mazuri na mabaya, na mengine yamepitwa na wakati, bibilia ya Mungu ni hiii,
KUCHUKIA NA KUACHANA NA MAOVU YOTE SIKU ZOTE ZA MAISHA YAKO
TENDA MEMA, TETEA MEMA, YASIMAMAMIE
Huo ndio msaafu wa Mungu, inje ya hapo hakuna Mungu, Mungu si Mkristo wala Muisilamu wala Si Mhindu, MUNGU NI MUNGU ANAJITEGEMEA
 
km nilivyosema hapo juu, Paul alikuwa msomi wakati ule si wakati huu, zama za leo Paul ni cha mtoto tu, Science haijawai kuwa na mkakati wa kumshawishi Mungu awaondolee wanadamu kifo, na wala haitatokea, Science inaelewa kuwa kifo ni mabadiliko yaliyowekwa na Mungu, KWA MAANA HIYO KIFO IMEBAKI KUWA SIRI YA MUNGU.

Science kwanza inashukuru watu kufa, maana kifo kinatoa nafasi kwa watu wapya kupata nafasi ya kuishi, km watu wasingalikuwa wanakufa, pasingalikuwa na nafasi yoyote duniani, na maisha yangalikuwa yenye matatizo makubwa lkn dini hulalamikia kifo, ndio maana zikabuni kuwa baada ya kifo kuna maaisha ya raha na umilele huko mbinguni, nani mwenye ushahidi hayo maisha ya umilele? Km maisha ya umilele yapo hiyo imebaki kuwa SIRI YA MUNGU, wewe timiza wajibu wako unokupasa, MWACHIE MUNGU NAFASI YAKE USINGILIE NA KUJIFANYA USHAFIKA KWAKE NA UNAJUA KILA KITU
 
Unachanganya mambo hapo mkuu kinyume cha uongo sio Nzuri. Kuna uongo na ukweli na pia kuna mazuri na mabaya. Bibilia haina uongo yote ni kweli. Ila ndani ya bibilia Kuna mabaya na mazuri. Mabaya ili tuyaone na kujifunza na kuyaacha yasijekututotokea na sisi mazuri ili yatufanye kuwa bora zaidi. Hujaeleweka kwenye hii comment unataka kusema nini
 
Mleta mada soma na hii kisha urudi kutuelezea:

An Introduction to Biblical Nonsense
Kwanza naomba kujua kama umesoma mwenyewe na kuelewa hiyo link na uko tayari kujadili kwa kina. Maana huyu mwandishi kwanza kamdogosha Mungu kuwa kama Mwalimu wa biology ili apate mwanya wa kuweka criticism zake.
Ninauzoefu na wewe na mwenzKo gavana kama sio wewe huyohuyo kuweka vitu ambavyo hamjavisoma na kuvielewa.
Pili :kusaidia wafuatiliaji ungesoma utaelewa ukatumia ulichokielewa kuja kukiweka hapa kwa utashi wako. Maana Unachokifanya ni kazi rahisi na mimi ninauwezo wa kukuwekea jibu la link yangu inayokanusha yote hayo. Mwisho wa siku mwelevu alisoma atajua hapa sio mjadala kt ya FF na MM Bali ni watunzi wa hayo malink.

Acha hiyo tabia kama huwezi kusoma na kuweka content ukichanganya na akili au uelewa wako hizo nitakuwa naziruka.
Why always you.
NB:nimesoma yote ila namashaka nitakuwa namjibu Nani wewe au mwandishi wa kabobo hizo ambaye hana Uwezo wa kunijibu maana hayupo na wewe ni mtuma link tu sijui unaelewa nini au unasimamia wapi maana ukute mwandishi haamini hata uwepo wa Mungu . Naomba ufafanuzi kabla hatujaendelea
 

Wacha kubwabwaja na kuhororoja, nipo tayari na anza kujibu hili kama umelielewa:

Anyone with a decent background in natural science who undertakes an impartial but critical look at the first chapter of Genesis should have no trouble denouncing its claims as rubbish. At best, the author has offered a poorly constructed allegory for the creation of the universe; at worst, and far more plausible, Genesis 1 is a total fabrication. This section will of course demonstrate why the creation account in the opening chapter fails miserably to be scientifically accurate.

Early in the creation, God allegedly separated the waters into two distinct bodies so that land could appear between them. He called the water below seas and the water above sky, which he presumably held aloft by the use of a firmament (Verses 6-10). While the NIV translated this verse using expansion, the Hebrew word utilized by the author is raki’a, which the KJV more accurately translated as a solid body.

Why is the KJV translation more in line with the author’s intent? First, it’s the primary use of the word. Second, it reinforces the aforementioned idea of a sky ocean because a solid protective layer would be required to suspend the water if there truly were an ocean above us as the Bible suggests. Third, it complements the known widespread primitive beliefs. Take the mindset of an ancient Hebrew for a moment by ignoring any contemporary understanding you have of the world. You can glance at the sky above and observe that it’s the color of water, while, periodically, water falls from above. With no further evidence to consider and no further understanding of this phenomenon, the perfectly logical conclusion would be that there’s a mass of water in the sky. If this is true, it certainly follows that a solid body, a firmament, would be necessary to contain this oceanic reservoir. Perhaps windows even open in the firmament to allow rainfall (Genesis 8:2).

Although the pursuit of knowledge has proven these outdated beliefs untrue, we are far richer in scientific understanding than our Hebrew predecessors and should not scoff at the author for his proposal. We now know that the sky is blue due to the scattering of a particular wavelength of light passing through the atmosphere at a certain angle, not because there’s an ocean in the sky. While we cannot fault the author for believing this ancient hypothesis, we can conclude that his guess on the properties of the sky was incorrect. Already, a critical analysis has demonstrated the Bible to be scientifically inaccurate and undeniably imperfect.
 
Science was the result of discovery of God's creative work. Kama utakutana na mwanasayansi aliyeamini uwepo wa Mungu hata kwa definition tofauti kama Einstein utaelewa tunajadili nini. Yote yalianza baada ya watu kuuliza nature maswali na kukutana na majibu makubwa na uvumbuzi usio wa kawaida. Hata wanasayansi wapagani na waandishi walifanya hicho hicho ila hawakuelewa who was the author of what they saw. Kamuulize corpenicus, galileo, Mendel, newton, Boyle, Charles, pascal na wengine wengi Marconi wote ni mazao ya biblical exploration and acknowledgment of God's creative power. Dhumuni hapa ni kumbe hili zoezi lingefanyika zamani basi hata hiyo smartphone yako ingekuwepo kipindi cha yesu maana miaka elfu mbili kbla yake Mungu ameshaelezea kuhusu Radio wave and electromagnetic transmission in a spectacular way when he was responding to the claims of Job. Na hivyo vitabu vya zamani hata yesu alikuwa anavisoma na wayahudi japo interest yao haikuwa huko. Ndio maana ujuzi alioutoa Yusufu Misri alioupata kutoka kwa Mungu na wakadesign maghara yaliyotunza nataka miaka Saba jamaa mmoja huko kibbutz israel ametengeneza kitu kama hicho hicho akiwa powered na what happened in Egypt during seven years of famine and ideas of Joseph. Kwa ufupi sio tu unapata ndani ya bibilia scientific ideas lkn mambo mengi sana ambayo yanaweza kubadili na kuokoa jamii yako.
 
Huyu Mwalimu atakupotosha sana madam
Vyote alivyoongea ni zaidi ya contributions na hajasema chochote cha msingi hapo.
1:hakuna evidence yoyote kuwa kitabu chako kimeandikwa na Mungu. Ninachojua ni caliph uthman alikusanya baadhi ya magombo na watu walikuwa wamerecite maneno ya mtume aliyopata kutoka kwa Allah na kutengeneza hicho kitabu. Hakuachiwa hayo maagizo na mtu yoyote. PILI KUNA MAELFU YA TAARIFA ZILITUPILIWA MBALI na kilikuwa na sintofahamu kubwa sana kati ya Ali na uthman kuhusu kilichokuwemo. Na ni nani aliyemwambia achome evidence ya alikocopy hizo details au ni kwa sababu ya cheo chake cha religiopolitical katika hiyo calphate. Hayo ndio maswali ya msingi na mengine mengi anapaswa kuulizwa huyu Mwalimu.

Vyote alivyojibu kuhusu bibilia vinamajibu yake mepesi sana ndani ya bibilia. Kuhusu Mwezi Mungu aliumba na kutoa taarifa hakutoa mechanisms of light formation ktk mwezi. Ndio maana hata yule Mwalimu wako mwingine kwenye link anashindwa kujua hata Ile Genesis ilikuwa ni summary of the complex process ambayo ndani ya bibilia Mungu huyohuyo kafunua kila kitu.
Mfano madilisha ya mbinguni au rain formation anacritisize kutengwA maji. God was in a process of creating stable and interconnected global system which will support life. Ndio maana maji angani ameeleza mfumo wake katika ktb cha ayubu. Ndio maana mvua ilipogoma kunywa miaka arobaini kipindi cha eliya kama sijakosea, Horizon blue color we see haikutoa maji Bali hata eliya mwenyewe alisubiri mawingu siku Saba mlimani na mvua ikaja.
 


Hayo yote unayasema wewe hakuna katika hayo yaliyozungumzwa kwenye hiyo video.

Onesha hicho alichokupotosha ni kipi?

Anasema biblia ina "contain" mpaka "pornography" jee, unalikataa hilo?
 
Lalamiko Lako kubwa ni kuwa ndani ya Ramani ya biblia Uz haipo. Kwa hiyo scope ya tuhuma na malalamiko yako ni bibilia yenyewe na mimi nilizingatia hilo. Huko kwingine kwenye Quran au Veda watakuja wenyewe wakusaidie. Ila Mimi naamini bibilia ni kitabu pekee duniani kinachoomba wasomaji wake wakihoji uhalali wake na Mungu kupita bibilia Isaya 46:9,10 anakutaka uchunguze mambo ambayo amesema yatakuwa na yamekuwa, na bibilia ndio inayojibambanua kuwa Chanzo au orgin of everything. Hakuna kitabu chochote cha dini au madhehebu kinachotoa mwaliko wa kuprove validity yake hata nje ya maandiko yake.
 
Pia kwa ufupi tueleze hii video unataka tuchue nini maana imezungumzia mambo mengi tata lkn yote yanamajibu.
Sijui amejibu nini Labda unisaidie wewe ndugu yangu

Anasema biblia ina "contain" mpaka "pornography" jee, unalikataa hilo?
 
Sema nini unajua- huenda walisoma Lakini walikuwa ni vilaza
Na haya mambo na science zinazotokea siku hizi ndo wakati wake ambao Mungu alipanga yatokee na alitabiri yatatokea katika kipindi hiki
 
Sasa kwanini usimpeleke kanisani akaombewe?
Ila we maswali yako!! Uliskia Mungu amekataza hospitali?!
Yeye ndo alietoa maarifa kwa madaktari
Na Mungu anasema ' jisaidie nami ntakusaidia' sio unabweteka kwamba atashusha muujiza direct, hakunaga kitu kama hicho
 
Usifuate mkumbo wa Dunia wa kuamini kitu, fuata unacho kiamini mwenyewe
Mimi huwa siamini kama Dunia inazunguka jua ila jua ndo huzunguka Dunia, Mungu hawezi kusema uongo, kuligandisha jua inamaanisha kuwa jua ndo linamove. Na inawezekana jua ndo linamove na sio Dunia sababu hata ukiangalia vingine vilivyo angani vinaonekana vinamove kama vile mawingu, nyota na mwezi, kama Dunia inamove kwa nini hivi navyo visitulie ili Dunia ndo ivizunguke. Na kama Dunia ndo ingekuwa inalizunguka jua inamaanisha jua lingekuwa palepale kila siku na Dunia ndo ingekuwa inamove from east to west.Na wanasayansi wanasema Dunia inamove Lakini ipo palepale, so ni nini maana ya kitu kumove? Kitu kumove ni kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine, so haiwezekani kusema kitu kina move then kipo pale pale

Hakuna uthibitisho unaoeleweka kuwa Dunia ina move maana palipo mashariki siku zote ni mashariki na magharibi ni magharibi siku zote. Lakini jua huanzia movement zake mashariki na kuishia magharibi

Pia kumbukeni Shetani baada ya kumwasi Mungu alihakikisha kila kitu anapeleka kinyume na Mungu anavyosema.
 
Hayo yote unayasema wewe hakuna katika hayo yaliyozungumzwa kwenye hiyo video.

Onesha hicho alichokupotosha ni kipi?

Anasema biblia ina "contain" mpaka "pornography" jee, unalikataa hilo?
Karibu vyote hanipotoshi mimi Bali yeye mwenyewe, wasikilizaji, jamaa aliyeuliza hayo maswali miwili na wewe mleta clip ndio maana hata alisema kitabu kimeandikwa na Mungu wakati historia inasema aliandika othman.
Tena kwa kutowashirikisha watu Wa Muhimu kabisa waliokuwa wamebeba ujumbe huku akipoteza ushahidi wa orgin copy unauhakika gani kuwa hayo ni ya Allah au idea za huyo calif.
Nikupe assignment ndogo niolodheshee vitu vitabu na mistari unayoamini ktk bibilia kwa ushauri wa huyu Mwalimu wa peace TV.
Kuhusu ponography kasema yeye muulize iko wapi hiyo na nini kilimaanishwa ukiniuliza mimi sina la kukweleza hadi ulete hicho anachoelezea Mwalimu wako
Hapa Kuna mengi yameongelewa japo umequote nusu ya hiyo chapter. Nextime summarize kwa kiswahili tu huna haja ya kutipika maelezo yote haya ambayo yanaweza kuandikwa kwa sentesi nne tu.
Pia nashukuru kwa kutaka kujua mtazamo wa bibilia maana ktk quran haijulikani dunia iliumbwa siku ngapi maana Kuna nane, Saba, tano kwa ufupi haina uhakika.

Nimekwambia Mungu alikuwa anatengeneza self running system. Pia Jua sio Chanzo pekee cha mwanga. Ndio maana Mungu siku ya kwanza aliumba mwanga kabla ya kuweka jua ili kupropagate day/night issue. Hakuna mahali panasema horizon ni bahari iliyoko angani ni mawazo ya huyo jamaa. Ila Mungu alitenga Maji na akaweka system ya Hydrology kama nilivyokueleza kwenye thread. Maji mengine aliyahifadhi chini ya ardhi. Lugha ya madirisha ya mbinguni isikutishe mvua ilinyesha kama mvua nyingine.

Kuna vitu vingi kaelezea sijui shida yako ni nini.
 
Anasema biblia ina "contain" mpaka "pornography" jee, unalikataa hilo?
Hayo maoni yake wewe mwanafunzi mjadiliane nae kwanza na mje na ushahidi ili mjibiwe. Mimi nikisema wewe ni kada wa cdm ndani ya ccm. Siwezi kufanya surface conclusion kizembe namna hiyo hadi nije na ushahidi wa ninachokisema ma.
Japokuwa pono sio sayansi na hapa inajadiliwa bibilia na sayansi mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…