= Bangladesh
Anyway, hiyo ya Dr. Zakir Naik kukataliwa siyo issue kwani hata Yesu alayhi salaam watu aliotumwa kwao mpaka leo hii wengi wao hawajamkubali.
Hali kadhalika hata Mtume Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam watu wa kwanza kumkataa walikuwa ni wa kwao.
Tuendelee na mada.
NAOMBA NIKUPE KIDOGO MAELEZO HAYA KABLA SIJAFUNGA KUHUSU HUYU MWALIMU
Usichukulie kirahisi hivyo ndio maana umesema anaangaliwa na watu 100M kwa far east na india hiyo ni idadi ndogo sana ya watu ukilinganisha na population ya huko.
Huyu unayemuona kama Role model wako wa imani anapingwa na kukwepwa na waislamu wasomi wa kitabu wengi tofauti na unavyomsifia.
Mfano hii Fatwa kutoka kwa kiongozi wa kuheshimika
“He seems Ghair Muqallid and his knowledge is not deep. Therefore, he is not reliable and Muslims should avoid listening to him…. We know that he is an agent of Ghair Muqallideen, away from knowledge and wisdom, spreading mischievous things and misguiding simple Muslims to wrong path” (Mufti of Deoband).
Kwa Ufupi usidhani wakristo hawajishughulishi kujua mkoje huko historia yenu inasemaje na mapungufu makubwa yaliyopo ila ni uvumilivu wa kidini na asili ya bibilia inashambulika na inaalika changamoto kuliko upande wa pili ambapo kwa maana ya kutetea imani wanaenda mbali zaidi ya majadiliano ya kihoja. Huku tunaamini maadam FF anaweza kuokolewa na kristo kwa hata maneno mawili tu na ukawa muinjiristi mzuri huku ukiweka pembeni yote uliyodhani ni sahihi.
Dunia inaaminishwa ni wamoja Mungu mmoja na Mtume mmoja lakni kiukweli japo kitabu ni kimoja (Ambacho chanzo chake ni controversial kuliko kawaida) lakini kiila kikundi kina tafsiri zake tofauti kabisa na kingine.
Japo Tunaaminishwa Kuwa ni Dini moja isiyojipinga lakni Ukweli ni kwamba Kuna Madhahebu zaidi 72 duniani yanayopingana katika tafsiri ya kitabu kwa utofauti wa mbingu na nchi. Na Huu sio Muujiza bali Ulianza pale baada ya mwanzilishi kufariki, na Abu Bakar kuchaguliwa bila kumshirikisha Ali ambaye alidhani ndiye alifaa kuchukua nafasi hiyo kuu ktik imani(Caliph), Na kosa kubwa kabisa hata pale Ali alipodhani ni zamu yake Akachaguliwa tena Umar, akaja Uthman aliyecompose hicho kitabu bila maridhiano ya kutosha na Ali ambaye alikuwa mtu wa karibu kuliko wote kwa mwanzilishi na alijua mengi.Kuanzia hapo hakujawahi kuwa na imani moja ya hicho unachoamini.
Mfano ni hili dhebehu la Wahhabi ambalo huyu mwalimu anabasezaidi japo anachanganya.Hawa wanamisimamo hatari isiyokumbatia amani sana na inaamini ni maelezo yao ndio yako sahihi kabisa kuhusu kwenda peponi.Maana yake wengine wote kunauwezekano ikawa ni motoni. Ili kuwavuta wengine Zakir anachanganya na Mafundisho ya wengine kama waismail,Qadiyanis, Wahabis,shia, etc na kuwa na version yake mwenyewe ya mafundisho ambayo wenzake wapenda amani wanapingana nae kwa mengi.
Sijui wewe unafanya kazi wapi, lakini miongoni Dogma za huyu mwalimu Zakir mwanamke hapaswi kufanya kazi za ofisini, Maana kuna uwezekano ilatokea akabaki peke yake na mwanaume humo ndani, Anatakiwa kuwa peke yake na mume wake tu au ndugu wa karibu kabisa na zaidi ya hapo haruhusiwi kabisa kushiriki kwenye michezo. Anaenda zaidi kwa kucheza na maneno na statistics kutetea ndoa za wake wengi kinyume na misingi hadi kuna baadhi ya mafunsiho yake anasema uwezo wa mwanamke uko chini kiasi cha wanawake wawili ni ndio wanakamilisha akili moja kamilifu.
Kuna wengine wameenda mbali zaidi wakamuita
shetwain kutokana na mafundisho yake. Wote hao sio wakristo. Na pia wengine wanamemchoka na kusema hajui hata kiarabu ila mambo mengi anacopypaste kutoka kwa mwalimu mwingine wa aina yake Ahmed Deedat ambaye ndiye yuko mstari mbele kwenye hizo story la swali lako.
Zakir Naik Hatred for Prophet Muhammad (Salallaho aliayhay wasullam)-1/2 - YouTube
Haya ni baadhi ya maoni kuhusu huyu mwalimu.
Hakika nimefurahi sana kuwa jinsi nnavyojadili na wewe unahisi kuwa nimeanza "kuleta tambo na majigambo yasiyo na maana."
Nimefurahi kwa kuwa ukweli wangu ndiyo unaokufanya uone hivyo na ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.
Nimefurahi sana tena sana kukusoma kuwa hujaona darsa langu mpaka sasa. Hiyo ni furaha kubwa sana na ndiyo moja katika mbinu za kusomeshwa nilizofundishwa na wewe umeniyakinishia kuwa nnafanya vyema bila wewe kujijuwa. Ahsante sana kwa hilo.
Tukirudi katika mengi uliyoyabandika hapo juu, kwanza nnaona unaweka namba ya aya lakini unashindwa ku i quote hiyo aya na badala yake unajaza maneno yako.
Hivi ni sahihi kuweka namba ya aya ya biblia halafu badala ya kuweka hiyo aya unajaza maneno yako?
Nnahisi si sahihi, unaweza kuweka namba ya aya na ukaiweka hiyo aya kisha ukaitolea maelezo, hapo ndipo mjadala utanoga.
Nimefurahi pia kuwa umelirudia tena suala la maana ya "pornography", hilo sasa hivi si muhimu sana kwani nimeshakubali maana yako uliyoileta na nnakuahidi ntaitumia hiyohiyo.
Kumbuka tu, mpaka sasa bado nipo katika kujadiliana na wewe namna tutavyoendesha huu mjadala.
Nashauri, inapokuja katika ku quote biblia au Qur'an tutumie namba za aya kisha tuweke hiyo aya kisha tuweke maelezo yetu na ikiwezekana aya tuzi bold.
Nasubiri jibu lako kwa hili.
Kuhusu hii hoja ambayo inakuwa propagated na baadhi ya wahubiri mafano huyu Dr zakir na Ahmed Deedat sitapenda kuendelea mbele. Kwa maana itatulazimu tushindanishe vitabu hivi viwili pamoja na Hadhi zote tuziweke mezani zinazoaminika na zilizoachwa wenda kwa sababu maneno yake yangeaibisha imani. Na naona nikizama ndani zaidi nagundua kule upande wa pili uliko hii mada au swali ulilouliza Linaushahidi kutoka kitabuni humo na adithi zake usio na kifani. Na kwa uzoefu mdogo kila mjadala ulipohitaji kuhusisha Kufunua kitabu na Hadhithi zake kuwa unachochea mihemko ya Hasira (Definition ya tatu Westminster post 297) upande wa pili. Maana ntahitajika Kukuonyesha Jinsi ambavyo sio tu hilo tukio ovu kuhamasishwa bali hadi Peponi kunategemewa kuwa kama mji wa ngono na sio mahala patakatifu kama tunavyofundishwa na bibilia. Nitalazimika Kuzungumzia vitu kama "HOURIES", Wanawake walioandaliwa yaani Vifua vimesimama, umri mchanga, Hawaingii MP, Hawana wala hawazai watoto wala hawana majukumu zaidi ya tendo la ndoa 24hrs huko peponi, Itanibidi nizungumzie hadithi zinazoonyesha Paradiso ambazo zinazungumzia mambo ya ajabu yasiyostahili kuwekwa hapa jamvini.
USHAURI WANGU:
Ninashauri tuendelee ma Mada Tajwa juu pale kwenye thread, kama unashida na content yoyote pale au mada nzima ueleze itajadiliwa. Ila kwa akili yangu hii ndogo baada ya assessment ya progression ya Hiyo mada uliyoiibua maana itabidi tuweke Bibilia,Quran, Hadithi unazozipenda na Usizozipenda (wengi huzikimbia na kusema hizo tulizikataa), Rejea za wanananzuoni na hivyo kuharibu mwelekeo wote wa hii mada juu pale. Kama kauli hizi kwako utahesabu kuwa nimekimbia au nimeshindwa pia sitashtuka wala kutia neno.
UKWELI UDUMUO NA USIOPINGIKA.
Bibilia ni Neno la Mungu lililokamilika lenye uwezo wa Kumuokoa mwanadamu yoyote ikiwemo wewe.
Ule unaotafsiriwa kuwa ni mapungufu na mikanganyiko ni Kwa sababu Dunia inashindwa kujua Bibilia ni kitabu ambacho ndani yake kinazungumzia wanadamu na mahusiano yao na Mungu pamoja na Shetani anavyowaangusha. Kuna record za wanadamu Mitume,Manabii,Watumishi,Wafalme katika Vilele vya ubaya wao na Vilele vya Uzuri wao. Kurecord mfano mabaya ya Mtu mwanadamu Mdhambi au Mwovu kabisa haukifanyi kitabu bibilia kuwa Na Makosa au haifai bali ni Ushahidi tosha wa kukifanya kiaminike kabisa maana kinaonyesha uhalisioa kuwa Watu sio Maroboti. Ila kama kuna kitabu kinachozungumzia wanadamu walionyooka kama rula na kufuta au kwa siri kuondoa haya za udhaifu wao kama Uongo, Mauaji,Uzinzi, Uasi ni lazima kiache maswali mengi ni aina gani ya watu waliishi enzi hizo. Ni yesu(Mungu pamoja na wanadamu) tu ndie aliyeishi bila kutenda dhambi. Pia kuna mifano,mafumbo,historia,mithali,unabii,lugha za picha etc zinazoweza kukwachanganya wanaoipinga. Kuisoma biblia bila Roho mtakatifu ni sawa na Kunyoosha nguo kwa kutumia pasi ya umeme ambayo haijachomekwa kwenye socket. Maneno ya bibilia yameandikwa na Watu waliobgozwa na Mungu kwa Uvuvio wa Roho mtakatifu nayo yamevuviwa.
Maneno ya bibilia ni ya kina kifupi sana ambacho mtoto mchanga Anaweza kuogelea bila Kuzama, Pia bibilia hiyohiyo maneno yake ni ya KINA sana kiasi kwamba WASOMI,WAPINZANI WAKE,WAZUSHI,WANATHEOLOJIA, WANAHISTORIA,
WACHAMBUZI NA WABOBEZI WA MAMBO wanawezakuzama kutafuta maarifa bila kufikia kina chake.
KARIBU