Hayo maneno yako. Hayanihusu, Tanzania haiishii leo wala kesho. Kuna kizazi kijacho.Lakini tumebaki nyuma kuwa masikini wa kutupwa
Unafikiria kitoto. Unatakiwa ufikiri kama mtu mzima. Tanzania itakuwepo, wewe utapita.ni aibu tanzania kuendelea kuwa masikini hali ya kuwa tuna rasilimali za kutosha kuweza kutukomboa na umasikini
don't panic fellaz it's just what am thinking!!
sasa hicho kizazi kijacho ni kipi?Hayo maneno yako. Hayanihusu, Tanzania haiishii leo wala kesho. Kuna kizazi kijacho.
Mtu mpumbavu hula chakula chake chote na kusahau kizazi kijacho. Lakini mwenye hekima hutumia mali zake kwa busara kwa ajili ya baadae. Sasa jitazame mawazo yako yapo katika kundi gani.
Nani kakwambia Tanzania ni maskini? Au propaganda za wamagharibi zimekuingia!!?nimeipenda post yako mtoa mada kwa sababu inachangia kutangaza rasilimali zetu, ila it's a shame kuona nchi yenye rasilimali kiasi hiki inaendelea kuwa masikini
yah what u r sayin is very true, ila kumbuka it's now 56 yrs since independence, but we are not progressing enough, how many yrs are enough for us to move on??Unafikiria kitoto. Unatakiwa ufikiri kama mtu mzima. Tanzania itakuwepo, wewe utapita.
wooooow!? huenda wewe ukawa ndie mtanzania pekee ambae hujui kuwa nchi yetu ni masikini.Nani kakwambia Tanzania ni maskini? Au propaganda za wamagharibi zimekuingia!!?
Kwa mfano wewe ni maskini? Kitu gani ukitaka kufanya Tanzania kwa kujitafutia kipato unashindwa? Hebu fikiria zaidi ya hapo. Your better than this.
Bana ngonjera zako peleka huko sawa. Wewe umefanya nini katika familia yako kwa umri wako huo? Mbona kila kukicha kulalamika lalamika kama wehu. Unataka nani akufanyie kazi. Kama siyo ujinga ni nini. Unalalama lalama kama vile wewe unajua sanaaaana!!? Nimekueleza kwa heshima hutaki unataka nikuelezeje. Nimekuuliza maswali unarukia kulalamika kama mwehu.yah what u r sayin is very true, ila kumbuka it's now 56 yrs since independence, but we are not progressing enough, how many yrs are enough for us to move on??
vipi! umekasirika???Bana ngonjera zako peleka huko sawa. Wewe umefanya nini katika familia yako kwa umri wako huo? Mbona kila kukicha kulalamika lalamika kama wehu. Unataka nani akufanyie kazi. Kama siyo ujinga ni nini. Unalalama lalama kama vile wewe unajua sanaaaana!!? Nimekueleza kwa heshima hutaki unataka nikuelezeje. Nimekuuliza maswali unarukia kulalamika kama mwehu.
Hayo maneno yako. Hayanihusu, Tanzania haiishii leo wala kesho. Kuna kizazi kijacho.
Mtu mpumbavu hula chakula chake chote na kusahau kizazi kijacho. Lakini mwenye hekima hutumia mali zake kwa busara kwa ajili ya baadae. Sasa jitazame mawazo yako yapo katika kundi gani.
"World-class" helium gas field in Tanzania's East African Rift Valley.
Researchers find game-changing helium reserve in Tanzania
Game-changing Helium reserve found in Tanzania - CNN.com
Wenzako tu ndio wanakumaliza,, wakenya tumenyamzaNani kakwambia Tanzania ni maskini? Au propaganda za wamagharibi zimekuingia!!?
Kwa mfano wewe ni maskini? Kitu gani ukitaka kufanya Tanzania kwa kujitafutia kipato unashindwa? Hebu fikiria zaidi ya hapo. Your better than this.
That makes sense! Maybe it was Adam's skull, and maybe that's why we have peace in our country! But was he black or white?!The earliest human skull in the world was discovered in Olduvai Gorge in Tanzania
Ni Tanzania pekee duniani iliyopatikana na fuvu la mtu wa kwanza duniani. Kwa maana hiyo inasadikika hapa Tanzania ndiyo bustani ya Aden ilikuwepo.
View attachment 480721 View attachment 480722
wooooow!? huenda wewe ukawa ndie mtanzania pekee ambae hujui kuwa nchi yetu ni masikini.
my br cha muhimu tupige kazi kwa nguvu zetu zote tuijenge nchi yetu kwa amani na upendo, hakuna haja ya kulumbana
Lakini tumebaki nyuma kuwa masikini wa kutupwa
ni aibu tanzania kuendelea kuwa masikini hali ya kuwa tuna rasilimali za kutosha kuweza kutukomboa na umasikini
don't panic fellaz it's just what am thinking!!
nimeipenda post yako mtoa mada kwa sababu inachangia kutangaza rasilimali zetu, ila it's a shame kuona nchi yenye rasilimali kiasi hiki inaendelea kuwa masikini
Yaani huwa nashangaa sana watu wa namna hiiThis is some western's mind game. They know the power of mind so the best they can do is to feed us with negativities so we can believe we're not capable of.. And so we can lack belief in ourselves wakihofia kuzidiwa kiuchumi and extra. Umaskin wetu ni akili zetu.
hii sio ligi br, tambua freedom of self expressionYaani huwa nashangaa sana watu wa namna hii