Facts About Tanzania - East Africa You Did Not Know About

Facts About Tanzania - East Africa You Did Not Know About

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,887
Haya haya Sasa ninaanza kuwaletea facts kuhusu Tanzania. Tanzania nchi bora kabisa Africa Mashariki. Sasa nitakuwa nadondosha kimoja baada ya kingine na picha juu. Watani wetu wa jadi ruksa kutoa mapovu tutayafuta tu. Nitakuwa nachanganya Lugha yaani kiswahili na kingereza

Tanzania has the most expensive hardwood tree in the world; the Mpingo trees, also known as the African Blackwood trees.

Huu mti unaitwa mpingo, Ni noma unapatikana Tanzania pekee.
download.jpg
DSC03306_mpingo.jpg
 
The earliest human skull in the world was discovered in Olduvai Gorge in Tanzania
Ni Tanzania pekee duniani iliyopatikana na fuvu la mtu wa kwanza duniani. Kwa maana hiyo inasadikika hapa Tanzania ndiyo bustani ya Aden ilikuwepo.

olduvai-gorge.jpg
download (1).jpg
 
With more than 4 million wild animals in its periphery, Tanzania has the largest concentration of animals per square kilometer, in the world

Hapa tunaendelea kutoa masomo ya maana. Wale wenzangu toka Nai watazidi kushangaa. Njoo ujionee Ulimwengu wa Tanzania
36CD197900000578-0-image-a-107_1470151979769.jpg
582-45.jpg
large_tanzania-quick-facts.jpg
 
30% of country’s area is occupied with National Parks, with 16 parks, 13 nature reserves, and 38 protected areas.
Hii tunafanya kwa ajili ya urithi wa taifa kizazi cha sasa na kizazi kijacho.
Guide-to-Tanzania-National-Parks-image-courtesy-of-Ecological-Adventure-6.jpg
 
KENYAN NEWS AND POLITICS....hii ingepelekwa Kule jukwaa la tanzania ingeelimisha watz wengi wasiopenda huu ushabiki usiokua na tija
 
The highest free standing mountain in the world, Mt. Kilimanjaro, is located in Tanzania. It is also the highest mountain in Africa.

Milima mingine huwa juu ya safu na kilele kinatokeza. Lakini Kilimanjaro umesimama wenyewe pekee.
Fotolia_2968891_Subscription_Monthly_M-1024x768.jpg
Mount-Kilimanjaro-Pictures-with-Safaris.jpg
 
Countries share food, flora and fauna, and several other things. But have you heard of any country that shares its national anthem? Tanzania does. With South Africa and Zambia.

In the Zanzibar archipelago of Tanzania, one can find the largest crab in the world; the coconut crab. Said to be the most delicious as well. Attention all sea food fanatic!

1113-44768.jpg
 
Have you ever seen a lion climbing trees? May be on television. Well, what you saw was a shot from the Lake Manyara National Park; the home to world’s only tree climbing lions.
download (3).jpg
mnyr.JPG
 
Haya haya Sasa ninaanza kuwaletea facts kuhusu Tanzania. Tanzania nchi bora kabisa Africa Mashariki. Sasa nitakuwa nadondosha kimoja baada ya kingine na picha juu. Watani wetu wa jadi ruksa kutoa mapovu tutayafuta tu. Nitakuwa nachanganya Lugha yaani kiswahili na kingereza

Tanzania has the most expensive hardwood tree in the world; the Mpingo trees, also known as the African Blackwood trees.

Huu mti unaitwa mpingo, Ni noma unapatikana Tanzania pekee.
View attachment 480717 View attachment 480718

Lakini tumebaki nyuma kuwa masikini wa kutupwa
 
Back
Top Bottom