Facts About Tanzania - East Africa You Did Not Know About

Facts About Tanzania - East Africa You Did Not Know About

yaah!! huenda mimi ni mpumbavu ila wewe mwerevu umeshindwa kuelewa kuwa watu wamechoshwa na matangazo yasiyo na tija

watu wana kiu na maendeleo ya kweli sio kutuambia fursa zipo halafu wanaopata na kunufaika nazo ni watu wachache
Sasa hayo yanahusu nini kwenye hii mada. Acha upumbavu sawa. Unaweza kuanzisha mada yako. Usiniharibie thread sawa.
 
Sasa hayo yanahusu nini kwenye hii mada. Acha upumbavu sawa. Unaweza kuanzisha mada yako. Usiniharibie thread sawa.
una hati miliki nayo?

uharibifu gani ambao nimeufanya?

wewe umenitukana ila mimi mbona najibu kwa upole tu br?
 
sIJAPITIA YOTE LAKINI NI NZURI SANA
Vipi mkuu umekumbuka tamaduni zetu za utajili wa makabila kama ngoma,unyago na mengineyo?
Hebu endelea waoneshe hao wasioijua nchi ya asali na maziwa
baelezeeeee
Nakupenda sana TANZANIA
 
it is a fact that the mpingo tree is found in east and southern africa and not just in tanzania as you claimed.


THAT IS A LIE AND HERE IS THE PROOF.
Haya ndiyo maelezo kwenye source yako. wapi wameongelea mpingo!!?

HOME PAGE

cf-map.gif
Welcome to the website for the Coastal Forests of Kenya and Tanzania. The aim of this website is to provide different interest groups with information about the Kenyan and Tanzanian coastal forests; this includes conservation professionals, development partners, researchers, tourists and the general public.

The website provides general information about the coastal forests, the pressures and threats faced and the conservation initiatives conducted in the area. Publications and website links are listed, and access to digital copies of reports is provided where possible. You can also find out about tourism opportunities in the area.

In total 199 forests are listed with detailed forest descriptions, arranged by Region and District in each country, covering 176 forests (58 for Kenya and 118 for Tanzania) which have varying levels of protection and biodiversity values. Information has been collated from various sources and represents the majority of the known knowledge for the major coastal forest fragments in Kenya and Tanzania.

This site also provides information about five coastal forests in Mozambique. These forests are part of the Southern Zanzibar-Inhambane coastal forest mosaic ecoregion and are biologically similar to the more northerly forests of Tanzania and Kenya which are the main focus of this website.

Exciting Facts

The Coastal Forests of East Africa are a globally recognised area of great biological importance and diversity. Many species are endemic to these forests, for example 44% of plants are endemic to the coastal forests and 40% of plant genera are confined to a single forest patch. Forests only 100 km apart may have an 80% difference in their plant species.

galago.jpg
The coastal forests are home to five endemic primates: Tana River red colobus (Procolobus rufomitratus, critically endangered), Tana River mangabey (Cercocebus galeritus), Zanzibar red colobus (Procolobus kirkii, endangered), Rondo galago (Galagoides rondoensis, endangered) and the Kenya coastal galago (Galagoides cocos).

The coastal forests support populations of (Red List) threatened flagship mammal species: Black rhino (Diceros bicornis, critically endangered, Savanna elephant (Loxodonta africana, endangered) and Wild dog (Lycaon pictus, endangered).

ke-tree.jpg
Musical instruments, such as the clarinet and oboe, are made from one highly valued hardwood species, African blackwood, (Dalbergia melanoxylon) which is found in coastal forests and is threatened by unsustainable harvesting.

Coastal forests together with the Eastern Arc Mountains, are home to the African Violet (Saintpaulia spp) from which 40,000 varieties have been cultivated commercially from 3 species, with a retail trade of $100 million per annum.
 
sIJAPITIA YOTE LAKINI NI NZURI SANA
Vipi mkuu umekumbuka tamaduni zetu za utajili wa makabila kama ngoma,unyago na mengineyo?
Hebu endelea waoneshe hao wasioijua nchi ya asali na maziwa
baelezeeeee
Nakupenda sana TANZANIA
Nitaanzisha Thread hiyo ndugu ngoja nikusanye Taarifa.
 
African blackwood, (Dalbergia melanoxylon) which is found in coastal forests and is threatened by unsustainable harvesting.

and just in case you needed further proof

we can do this all day. it is time you provided proof that the mpingo tree is only found in tanzania as you claimed in your first post of this thread
 
"ukweli ni mchungu"

ndio maana mnatukana hovyo badala ya kutoa maneno ya sawa ili mtuelimishe na sie manotuita "wajinga tusiojua"
 
and just in case you needed further proof
Nimekuuliza leta proof kwamba mpingo unapatikana kenya. Mbona unaruka ruka kama chura!!? Give me proof. Nakutaka ukubali kwamba Kenya hakuna mpingo. Simple ubishi mwingine siyo.
 
Kipi kizuri amesema? Kwani mimi nipo hapa kujibu watu. Huo ni umbumbumbu. Mimi nimetoa thread inayohusu Facts about Tanzania. Sasa unapouliza maswali ya kijinga unataka nikujibu nini!?

Mtu mwenye akili timamu hawezi akauliza maswali ya kipuuzi kama hayo. Sasa unaniuliza umaskini mimi nikufanyie nini!?
Nakuonesha fursa halafu unalalama kama kichaa unategemea nikufanyie nini!? Huo ni ujinga na kwenda out of topic.
Facts kwa research ipi uliyofanya? Kwa picha na vitabu vilivyoandikwa 1948? We kweli fyongo, Buzwagi Gold Mine wanafunga kwa nn? We bado ktk makusanyo wsliyoandika wenzio Buzwagi bado IMO, acha kuwa mwalimu wa ujinga, watoto wako watakuuliza wasipokiona ulichoandika, eti facts! That's how Europe underdeveloped Africa! Structural mindset distorted!
 
The earliest human skull in the world was discovered in Olduvai Gorge in Tanzania
Ni Tanzania pekee duniani iliyopatikana na fuvu la mtu wa kwanza duniani. Kwa maana hiyo inasadikika hapa Tanzania ndiyo bustani ya Aden ilikuwepo.

View attachment 480721 View attachment 480722
Alafu kuna mivitabu ya Anthropology inasema ni Kenya,! Nilikereka niliposoma hicho kitabu, yaani nilibishana na darasa zima.
 
Facts kwa research ipi uliyofanya? Kwa picha na vitabu vilivyoandikwa 1948? We kweli fyongo, Buzwagi Gold Mine wanafunga kwa nn? We bado ktk makusanyo wsliyoandika wenzio Buzwagi bado IMO, acha kuwa mwalimu wa ujinga, watoto wako watakuuliza wasipokiona ulichoandika, eti facts! That's how Europe underdeveloped Africa! Structural mindset distorted!
Sikiliza hii video ita boost ubongo wako.
 
Nakutaka ukubali kwamba Kenya hakuna mpingo. Simple ubishi mwingine siyo.
eti unataka nikubali.....boy, your dellusion knows no barriers. soma hapa

now you provide proof that it is only found in tanzania as you sensationally claimed otherwise admit that you're suffering from a severe case of [HASHTAG]#alternativefacts[/HASHTAG]
 
That makes sense! Maybe it was Adam's skull, and maybe that's why we have peace in our country! But was he black or white?!

But kuna confusion
Watu walioishi kabla ya Nuhu wote walifukiwa chini ya ardhi na gharika, miili yao haikuonekana tena. Hivyo baada ya gharika kuanzia uzao wa nuhu ndo uliishi juu ya ardhi hii mpya baada ya mvua, na labda fuvu likawa ni la kuanzia uzao wa kina nuhu na hivyo bustan ya Eden haikuwepo Tanzania- this makes sense too
Wakizungumzia hiyo skull wanazungumzia ishu za Zinjanthropus, hawafuati historia ya binadamu kidini bali ni ishu ya evolution. Ile ya kua binadamu tume-evolve kutoka kwa Apes.
 
This is some western's mind game. They know the power of mind so the best they can do is to feed us with negativities so we can believe we're not capable of.. And so we can lack belief in ourselves wakihofia kuzidiwa kiuchumi and extra. Umaskin wetu ni akili zetu.
Kweli kabisa!
 
eti unataka nikubali.....boy, your dellusion knows no barriers. soma hapa

now you provide proof that it is only found in tanzania as you sensationally claimed otherwise admit that you're suffering from a severe case of [HASHTAG]#alternativefacts[/HASHTAG]

Sikiliza video hii ubongo wako upate afya

 
br mjibu mwenzako kwa hoja, mwenzako ameongea vizuri na wewe toa maneno mazuri
Wewe na wenzako wa aina yako mmekurupukia mada, Mada haihusiani na Umasikini wako mada ni kutoa sifa kwa nchi yetu... Umasikini wako fungulia mada mpya alafu husishanisha na facts zilizowekwa humu... Tutakuja kuchangia usijali, pole sana na ugumu wa maisha
 
Sikiliza video hii ubongo wako upate afya


where in that video does it say that say that it is only found in tanzania? at some point you'll have to show us proof that it is only found in tanzania as you claimed in the first post of this thread

you will have to show us some proof that it only found in tanzania or you will have to ignore me because i wont let you get away with this lie
 
Back
Top Bottom