Tundu Lissu tumetuma sisi watanzania huyo wenu katumwa na shetani gani ?Ni wazi Tundu Lissu anajiamini na ameshaaminishwa na wale waliomtuma kuwa atakuwa Rais, imefika hatua anasema wajaribu waone, hapatatosha na hapatakalika dunia nzima inaitazama Tanzania nini watafanya, amekuwa akitishia kuwa maamuzi yoyote ya kutokuwa yeye Rais yatawapeleka watu ICC..
Hasemi mshindi atangazwe anasema nisipo tangazwa
Kwani mwaka huu ndio Mara ya kwanza kufanya uchaguzi mbona wenzake hawakuwai kutoa mikwara ya namna hiyo na wala hawakuamasisha watu waingie barabarani, na hata huko marekani trump alipopita kuna mengi yalizungumzwa kuwa ameiba kura na hakuna mwananchi yeyote au mwanasiasa aliyeamasisha kuwa wavuruge nchi yao licha ya kwamba wapo wasiompenda.
Utetezi wake ni siku nyingi fatilia historia yake kwani huyu jamaa nimemjua tangu enzi ya Mkapa. Kwa ujumla hayumbishwi ktk alichokisimia.. Lisu atauza nchi mkuu[emoji3][emoji3]
Kumbe kina denning hawajui kuwa hawajui😂Mtajua hamjui mwaka huu dadeki!!😂😂
Waamue wao ni nani?hatutokubali taifa liangamie kwa tamaa za madaraka ya lissu,mataifa yote yaliokubali mabeberu kuingilia mambo yao ya ndani ndani hayajawai kukaa sawa mpaka leo.
Kumbe ccm sisi mnapenda sana muwe mnadhurumu afu mnaowadhulumu wakidai haki yao mnawaona wanatumwa na watu. Kwa nini usiamasishe NEC wamtangaze mshindi halali ili haya yote yasitokee.Ni wazi Tundu Lissu anajiamini na ameshaaminishwa na wale waliomtuma kuwa atakuwa Rais, imefika hatua anasema wajaribu waone, hapatatosha na hapatakalika dunia nzima inaitazama Tanzania nini watafanya, amekuwa akitishia kuwa maamuzi yoyote ya kutokuwa yeye Rais yatawapeleka watu ICC..
Mbona we ni CCM na ukoo wako woteInashangazaa....,
nimeanza kumuogopa Lissu!
Sina imani nae kabisa.
NB:mimi sio CCM
Ccm vichwa vya panzi, akili hamnaKumbe ccm sisi mnapenda sana muwe mnadhurumu afu mnaowadhulumu wakidai haki yao mnawaona wanatumwa na watu. Kwa nini usiamasishe NEC wamtangaze mshindi halali ili haya yote yasitokee.
Lissu na Trippi hawawezi kufanikisha malengo yao, hii sio Zimbabwe hii ni nchi iliyokabidhiwa kwa Mungu siku moja kabla ya uhuru mwaka 1961.
Hao wenye nia zilizojificha kwa ufupi wasahau.
Vibaraka wanadhibitiwa vyema tu kwa boksi la kura.Kwa mtazamo huu, inaelekea Lissu akipata kura za ushindi toka kwa Watanzania, basi itahesabika ni kukamilika kwa “malengo ya wenye nia zilizojificha”! Bila shaka wasiwasi Huu unatokana na uwezekano mkubwa wa Lissu kupata kura nyingi sana. Isingekuwa hivyo, naamini Lissu angepuuzwa kama kina Lipumba, Rungwe, Membe, nk.
Miaka yangu yote nimekuwa nikisikia kauli za aina hii katika nchi za kikomunisti. Nafikiri mtazamo wa serikali ya awamu hii ni kurejea kwenye enzi hizo na kuwa na “vanguard party” kabisa yenye kikundi cha makada wanaoamua nani wawe viongozi wa taifa. Kwa nini tusifanye hivyo rasmi ili kuwazibia kabisa mabeberu na vibaraka wao?
Sasa unaanzaje kuwa chamaInashangazaa....,
nimeanza kumuogopa Lissu!
Sina imani nae kabisa.
NB:mimi sio CCM
Hakuna mtanzania aliyefurahia Tundu kupigwa risasi, ni kitendo kilichoumiza wengi sana.....
Vibaraka wanadhibitiwa vyema tu kwa boksi la kura.
Hawajaanza jana wala juzi kuizingua nchi hii lakini huwa wanadhibitiwa.
Si kweli. Wapo. Hata wanaotaka amalizwe kabisa wakati huu, pia wapo. Kauli zao hazijifichi.
Hili ndio neno la msingi👍Sasa wasiwasi unatoka wapi? Kura zitapigwa; wananchi wataamua. Hakuna haja ya mjadala hapa JF.
ICC inakuwa linked kwenye wizi wa kura siyo yeye kutochaguliwa, wewe ndo humsikii au humwelewi, umepotosha ili uweze kumshutumu.L
Naona Wewe ulipitwa.
Inashangazaa....,
nimeanza kumuogopa Lissu!
Sina imani nae kabisa.
NB:mimi sio CCM