Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
CCM yaendelea kuunguruma maeneo mbalimbali Nchini, CCM yaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania, CCM yaendelea kujiweka karibu na watu, CCM yaendelea kutuma ujumbe mzito kwa Upinzani dhaifu na usio na mipango wala mikakati ya ushindi, CCM yaendelea kuonyesha utayari wa Mpambano wa uchaguzi Mkuu, CCM yaendelea kusogeza vifaa vya kivita ya kisiasa katika uwanja wa mapambano.
CCM yaendelea kuwaandaa askari wake , CCM yaendelea kuteka na kusambaratisha ngome zote za Upinzani, CCM yaendelea kuteka mijadala yote ya kisiasa hapa Nchini, CCM yaendelea kuwa tumaini kuu la watanzania, CCM yaendelea kuonyesha misuri yake kisiasa, CCM yaendelea kuvuma angani na ardhini ,baharini na hata katika fukwe.
Kupitia Mwenyekiti wake wa jumuiya ya wazazi wa CCM Taifa Mheshimiwa Fadhili Maganya. CCM imetuma ujumbe mzito sana tena wa kimamlaka kwa vyama vya upinzani ambavyo vimeonyesha kuwa dhaifu na kujikatia tamaa hapa Nchini na kusubiri huruma tu ya kubebwa mgongoni.
Huu hapa chini ndio ujumbe wake👎
👉Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi Taifa Fadhili Rajabu Maganya ametahadharisha vyama pinzani kuwa chama chao hakiendi kirahisi wala kuonea huruma mpinzani aliye dhaifu katika uchaguzi wa mwaka huu (2025) kwa kuwa wamejipanga kikamilifu kuendelea kushika dola.
Maganya ameeleza hayo mjini Makambako mkoani Njombe wakati akizungumza na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mara baada kupokewa kwa ziara ya siku tatu mkoani humo.
"Tunataka tuwapige kweli kweli,hatuwezi kuchukua mambo kirahisi kwa hiyo tuwaambie vyama rafiki tunataka tutumie silaha nzito na za kisayansi kuhakikisha tunawashinda kitakatifu na hatutajali kwamba tutumie silaha gani,sisi tutatumia bomu kuua nzi"amesema Maganya
Amewataka wanaCCM kutokuwa na wasiwasi na kwenda kuisemea vizuri serikali kwa kuwa imetekeleza kikamilifu Ilani yao.
Aidha Maganya amesema Chama cha Mapinduzi hakikutaka kuchelewa kumtangaza mgombea wao wa Urais ili kuwa wanachama utulivu wa akili ili kufikilia namna ya kutekeleza Ilani nyingine ya uchaguzi ya mwaka 2025-2030.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.