MWANAHARAKATI MWEMA
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 235
- 336
Mimi nikiwa shabiki wa simba kikweli siridhiki na mbinu za FADLU, SIMBA imekuwa timu ambayo haichezi kama timu ambayo tumeizoea na tunafurahia mpira. Watu wanampa sana sifa huyu kocha lakini uwezo wake umeishia hapa hawezi tena kuibadili timu hii naomba atafutwe kocha mwenye uwezo wa mbinu za kitchen ikiwezekana tumrudishe kocha wetu aliyeratibu pira biriani vinginevyo tutateseka sana.