FAFLU AMEIFANYA SIMBA ICHEZE OVYO SANA KWA MFUMO WAKE, PIRA BIRIANI HAKUNA TENA.

MWANAHARAKATI MWEMA

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
235
Reaction score
336
Mimi nikiwa shabiki wa simba kikweli siridhiki na mbinu za FADLU, SIMBA imekuwa timu ambayo haichezi kama timu ambayo tumeizoea na tunafurahia mpira. Watu wanampa sana sifa huyu kocha lakini uwezo wake umeishia hapa hawezi tena kuibadili timu hii naomba atafutwe kocha mwenye uwezo wa mbinu za kitchen ikiwezekana tumrudishe kocha wetu aliyeratibu pira biriani vinginevyo tutateseka sana.
 
Mmecheza hovyo hovyo mpaka mmefika fainal tuliwaambia hakuna Timu pale ooh timu yetu inaweza kushiriki klabu bingwa ya Dunia umepigwa mpira mkubwa sana na Pacome,Abuya na viungo wengine mmeanza kuongea lugha zote sasa..
 
Mechi ya dabi huwa si kipimo kizuri, huambatana na mambo mengine ya kiroho. Msimu uliopota Fadlu hakuwapo na biriani bado halikuwapo
 
Mechi ya dabi huwa si kipimo kizuri, huambatana na mambo mengine ya kiroho. Msimu uliopota Fadlu hakuwapo na biriani bado halikuwapo
Huyo kocha hana uwezo, licha ya misimu mingine kuwa migumu ila mpira ulikuwa unachezwa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…