Fahamu dawa na mambo yatakayoweza kukupatia mwanamke umtakae..

Kiukweli hakuna uchawi hapa bali ni uhalisia. Na mwanamke anayemaanisha katika mahusiano anakuwa attracted kwa emotion
Emotions ndo kila kitu ili kumnasa mwanamke. Cheza na hisia zake tu. Maisha ni mepesi mno ukiwa na ufahamu na PSychology
 
Mo Money=Kindness, Humble and Smart hata ungekuwa na mwili wa dhahabu lakini Kama huna pesa ndugu yangu mapenzi utayaona ni ulaghai.
 
Wuuuuu nilijua nikakitu kama maneno mawili,

Mwajuma njoo, nakupenda
Tayar anakubali.

Ahahah mbwa wewe nimecheka mpaka nimejamba[emoji23][emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Write your reply...Nina kagari cha mkopo na pesa haipigi chenga natafuna mpaka basi mkuu hakuna utaalamu mwengine
 
Nilishapita love, siku nyiingii nikaku”wow” hukuiona tu, yule mtu mchawi aliniloga kuumbee, kizembe sana😔😔😔 sasa I’m dancing to his tunes😀😀
Hata sikumbuki mm..
Pole kwa yakiyokukuta juu ya mtu huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…