Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,681
- 9,084
With all due respect mr denversDaah japo nayajua mambo haya ila sina gal.. I'm guiding others to the treasure that i can't afford...
Confusion
It is because hiyo siyo ramani sahihi so haipeleki mtu kwenye treasure na ndomana hata wewe imeshindikana kwako.
Wanawake wataisapoti sana njia yako lakini trust me IT DOES NOT WORK!!
Ni sawa na kumuuliza swala jinsi ya kuwindwa na simba.
mfano ukasema ili simba amwinde na kumpata swala inabidi awe mpole,mtaratibu,slow,humble na asiwe na tamaa
Inshort swala watakusapoti sana. Lakini simba atakayefata huo ushauri atakufa na njaa..
Truth is wanawake hawajui wanataka mwanaume design gan so hata wao hawajui wanataka nini na hayo mambo uliyoweka juu utaishia kuwa rafiki tu kwa mwanamke (friend zoned)
Na kama wewe ulishajaribu hizo utagundua Mara nyingi unaishia kuwa rafiki.
Uliposema psychological manipulation mimi nikajua huyu jamaa anajua halafu umeongea vice versa kabisa.
psychological manipulation nayoijua mimi ni tofauti na yako ya kitoto hiyo na ya kwangu ina results 100%
in short you are training guys how to stay single forever and how to be friend zoned.
Psychological manipulation nayoijua mimi ina uhakika wa kukuletea dem hiyo hiyo siku for one night stand na pia inakuletea wife atakayekupenda for all eternity.
Rai yangu kwa watanzania wanaosoma huu uzi:
Ukitaka kuwa mshindi wasikilize washindi wanafanyaje nawewe ufanye sio kusikiliza mtu aliyeshindwa anakuambia yeye ameshindwa ila anajua jinsi ya kushinda. utaishia kuwa mshindani na siyo mshindi.
NB:
I have had thousands of women in my life through my simple psychological manipulation formula lakini sisemi mimi ndo mshindi unisikilize NO!! nachosema sio lazima mimi lakini hata mtu yeyote unayemjua personally anafanikiwa kuwa na wanawake wazuri wanaomganda...muulize anafanyaje jifunze and copy from him
Women will hate me for this but hey! ukisema njia sahihi za simba kumkamata swala je swala watapenda??