Fahamu dawa na mambo yatakayoweza kukupatia mwanamke umtakae..

Acha kututisha hiyo avatar ya golden cd ambayo NASA waliituma space inahusianan nini apa?
 
Acha kututisha hiyo avatar ya golden cd ambayo NASA waliituma space inahusianan nini apa?
😂😂
Hakuna aliekutisha ni kuelewa tu ila itategemea umeelewa vipi nayo pia itapembua weledi wako😜
 
Hebu tuelekeze hiyo yako kidogo mkuu



Why don’t you bring that ” psychological formular” of yours in here,.
Psychological manipulation ime'base kwenye psychology and so ni very broad subject tukijaribu kuandika hapa thread zote zilizowahi kuwekwa jf hazitatosha.

But as an introduction unatakiwa ujue kuwa moyo hauplay part yoyote hapa ujue kuwa moyo ni kiungo na kazi yake kusukuma damu..ubongo ndiyo kila kitu.
Kwenye ubongo kuna consciousness and subconsciousness
We consciously think we make 100% of our decisions but most of them 98% are done subconsciously.
So kwenye hii psychological manipulation inabid ujue kumanipulate kwenye hizo level zote especially subconscious level.

Njia zako Denvers hazijaonesha any form of manipulation but with my formula you will make ur lover believe she/he loves you 100%.
It is the reason why yule mtu unayempenda ule upendo wa kweli unajikuta hujui sababu uliyompendea. unaweza kujitungia either ni smile yake,care yake,uzuri wake lakini unaweza kuta kuna mtu mwingine ana sifa kama hizo au zaidi ya hizo lakini humpendi.
It is because real love happens subconsciously na sio consciously

The key is to induce emotions and thoughts that you are the dreamboy/girl and she/he loves you..but being smart,polite and humble doesn't do that.


Sasa jinsi ya kuinduce hizo emotions and thoughts ni topic for another day but for now key concepts chache nimezitaja.

This works for all lovers,one nightstanders,marriages and friends for benefit
It works for all sanguines, introverts,ambiverts and extroverts all ages and shape without caring financial status

But haishauriwi kutumia hii njia for hit and run,one nightstander or friends for benefit kwasababu utajikuta unaumiza trail of women/men as it is very powerful.
Usitumie sumu ya nyoka kuua mende.
Niliyosema ni 0.000000000000000000001% ya psychological manipulation but you get the concept
 
Hahah very funny
FYI sijasema hata 0.00000001% ya how psychological manipulation is manifested.
Nimesema tu the results lakini sijaonesha the means.
Nilichodokeza kuhus means ni kuwa it is NOT what denvers has said i.e smartness,humbleness bla bla bla
Kwahyo unaposema ni c&p nakushangaa i am really confused
 
Na nilichogundua ni kuwa wew client unafikiri im bluffing
Let me tell you this...psychological manipulation yangu nayosemea sio "easy trick" ya kufanya au ''easy handout" it is actually very very complicated but simple when you master it through practice.
It is not an easy formula for two sentences but rather includes various concepts for various situations and all concepts are like meat held together by a backbone which is a four step procedure to completely manipulate a mind.

Sio kitu cha kujua ndani ya siku moja hata ukikesha library but ukishakijua utaweza kucapture na kuteka moyo wa mtu yeyote within minutes.

Sio easy handbook kwasababu it contains years of researches done by thousands of psychologists,biologists and economists
You will be mesmerized kwasababu one of the founding father of this formula is dr. franz mesmer yes ndo tukapata neno mesmerized, mesmerizing etc.

Sio kitu simple kama unavyofikiri
Ina vitu vingi ndani yake
~Tinkerbell effect
~Game theory
In many perspectives
~Biological Perspective
~Cognitive Perspective.
~Behavioral Perspective.
~Psychodynamic Perspective.
~Humanistic & Existential Perspective
~Community-Cultural Perspective.

But simplified in four easy steps.
But im not going to tell you how psychological manipulation is manifested kwasababu i feel like im not obligated to and it will be like giving out war weaponry to a disco fight.

Labda mtu ambaye ntamfikiria ni yule
1.marriage problems(amaeoa/kuolewa lakini ana matatizo ndani ya ndoa)
2. Anatafuta mke/mume lakini anakumbana na matatizo

wengine kama hawa playboys aise mtanisamehe.

Ps:kuna watu ambao naturally wanakua na huo uwezo wa kumanifest psychological manipulation na kuinduce emotional thoughts of manipulation to a victim na hawa ndo wale wanakua Playboys unakuta mtu sura ya mkaa na hela hana lakini anapiganiwa na warembo au mwanamke mbovu lakini anagombaniwa na wanaume
Wao wameimaster hii naturally through their life experiences although kama hawajasoma utakuta amejitahidi sana anakuwa kwenye 25%.
Kwahyo ukijifunza hii hata kama ulikuwa 0% in love affairs utajikuta umepata mzigo wenyewe 100% it will turn a ho into a housewife a nerd into a pimp.

Ukiijua utajua why people that are loved are loved (it is not because they are smart and humble)
Watu smart and humble wanakuwa respected not loved please learn the difference.
 
But im not going to tell you how psychological manipulation is manifested kwasababu i feel like im not obligated to and it will be like giving out war weaponry to a disco fight.

Hii itakuwa ni siri kubwa sana ya kilingeni umefanya na maagano makali sana ya kutoitoa....
Ahsante kwa kupoteza my precious little time...
 

Khiiii
 
Hii itakuwa ni siri kubwa sana ya kilingeni umefanya na maagano makali sana ya kutoitoa....
Ahsante kwa kupoteza my precious little time...
Sio ata siri i just don got the time or the patience to tell u because i know according to our African customs y'all (women) are the prey Amen.
And so it will be useless training a deer how to catch and feed on deers.
 
Nyc
 
Daah japo nayajua mambo haya ila sina gal.. I'm guiding others to the treasure that i can't afford...
Confusion
hahahhaha chifu niltaka nikuulize na wewe umeanza kuwala siku hizi!?

kumbe unatoa muongozo👍
 
Tafuta pesa achana na uzinzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…