Fahamu gunduzi kubwa zilizoanza kuvumbuliwa Afrika (Misri) kabla ya Wazungu

Wale wasudan waliotengwa ndo mfano wa wamisri wa dunia ya AD na chimbuko la ulimwengu wa wastaarabu saiz watu wamebaki kuvumbua makaburi ya wafalme wanajua hawawezi kukosa gold na vingine vyenye thamani
 

Mkuu mimi naomba kujua kuwa umetumia marejeo gani kujua kuwa hawa ni waafrica ?
 
Walifanya mtima nyongo! weusi ndivo mlivo, hamrithishi wajukuu! ukifa tajiri unakufa na mbinu zako! mwana Malundi naye alikufanya juzi juizi hakuacha Legacy
 
realy Africa n chimbuko nla vitu vingi ila wazungu wanafanya kutu dumaza na historia y uwongo waliotengeneza uku wakipoteza historia halisi iliyo kuwa africa
 
Sizungumzii misri hii ya waarabu
wasamehe tu watu wengine elimu zao ndo ivoivo.

Hawakuwahi kufikiria kujiongeza kabla na baada, Japo basi ktk huu, ulimwengu wa electronic age.
 
Binafsi huwa siwahesabu wamisri kama sehemu ya Afrika hata ngozi yao ya mwili hujieleza kuwa wao si wa huku.

Kuanzia Misri, Morocco,Tunisia etc.
Race iliyilokuwa inaishi misri ya kale walikuwa Ni watu weusi wakati huo misri ilikuwa inafahamika kwa jina la kemeti ... Hapo Ni kabla ya kemeti (,misri ) kuvamiwa na Alexander the great toka ugiriki ...

wagiriki walivyo ingia misri na baadhi kuweka makazi hapo nchi ya misri ikapata kuwa na kizazi chotara na cha watu weusi pia Ni Kama jinsi ambavyo tunavyoona Leo hii wachina na waturuki wanavyo zaliana na dada zetu miaka inavyozidi kwenda taifa letu linaweza kuja kuwa na machotara wengi kuliko hata sisi weusi '

Pia baada ya utawala wa ugiriki kuanguka na kupoteza ushawishi wake duniani waarabu walivamia nchi za ukanda huo na wakasababisha race yao kuweza kusambaa na hatimae wakafanikiwa kutokomeza race ya watu weusi waliokuwepo maeneo hayo .... Ila kiuhalisia misri Ni taifa la watu weusi Ni Kama jinsi ilivyo tawaliwa Zanzibar tu na sultan
 
Historia ni eneo langu la kujidai.

Tafuta pia history ya Tumbuktu ambapo we had something even before Egypt triumphy

Msanii Picasso alikuwa ni realismist hafi alipokutana na carving skmculptures za west Afrika akaziadopt onto his arthand to create abstract figures
 
Danvers
Another point about Afrika.

Michoro ya miambani ya Kondoa irangi ndiyo oldest in the world
 
Sasa tulikuja kukwama wapi??


Sent using Jamii Forums mobile app
Historia inapotoshwa sana ugunduzi wote wa Misri ulifanyika kipindi wayahudi wakiwa watumwa Misri

Wagunduzi hawakuwa waafrika walikuwa wayahudi kuanzia mwandishi na kila kitu

Walipoondoka wayahudi wote kwenda kwenda Israel na ugunduzi ukakoma Misri

Ni kama leo waondoke Makaburu wote Afrika ya kusini warudi kwao walikotokea Holland Afrika kusini haitakiwa tofauti na Buguruni kwa Kimbengele kwa mfuga mbwa
 
Na hao Wayahudi hawakuwa wazungu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…