permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Wamisri wanaosemwa siyo hawa waarabu waliohamia haya ya Magreb. Angalia hiyo miili iliyohifadhiwa ndio utajua wakazi halisi wa haya maeneo. Vita ya kikoloni na uvamizi wa waarabu waliharibu na kupoteza historia nzima ya Egypt ya kale.Hao jamaa africa wapo kwa bahati mbaya.
North Africa wote walitakiwa wawe ulaya na asia..
Ndo mana hata corona inawababua kama wapo ulaya na asia
Sent using Jamii Forums mobile app