P permanides JF-Expert Member Joined May 18, 2013 Posts 11,682 Reaction score 14,241 Sep 24, 2022 #61 mjingamimi said: Hao jamaa africa wapo kwa bahati mbaya. North Africa wote walitakiwa wawe ulaya na asia.. Ndo mana hata corona inawababua kama wapo ulaya na asia Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Wamisri wanaosemwa siyo hawa waarabu waliohamia haya ya Magreb. Angalia hiyo miili iliyohifadhiwa ndio utajua wakazi halisi wa haya maeneo. Vita ya kikoloni na uvamizi wa waarabu waliharibu na kupoteza historia nzima ya Egypt ya kale.
mjingamimi said: Hao jamaa africa wapo kwa bahati mbaya. North Africa wote walitakiwa wawe ulaya na asia.. Ndo mana hata corona inawababua kama wapo ulaya na asia Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Wamisri wanaosemwa siyo hawa waarabu waliohamia haya ya Magreb. Angalia hiyo miili iliyohifadhiwa ndio utajua wakazi halisi wa haya maeneo. Vita ya kikoloni na uvamizi wa waarabu waliharibu na kupoteza historia nzima ya Egypt ya kale.
713 JF-Expert Member Joined Apr 1, 2018 Posts 354 Reaction score 776 Oct 1, 2022 #62 Mesopotenia ndio civilization ilianza
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 35,812 Reaction score 107,628 Apr 19, 2024 Thread starter #63 713 said: Mesopotenia ndio civilization ilianza Click to expand... Vipi kuhusu Aztec??
Omkara G Senior Member Joined May 24, 2014 Posts 101 Reaction score 51 Apr 22, 2024 #64 Niwagunduzi wa condom pia. walitumia utumbo wa mifugo.
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 11,075 Reaction score 24,634 Apr 24, 2024 #65 Troublemaker said: Binafsi huwa siwahesabu wamisri kama sehemu ya Afrika hata ngozi yao ya mwili hujieleza kuwa wao si wa huku. Kuanzia Misri, Morocco,Tunisia etc. Click to expand... Aisee, kumbe huwa mnaanza kuwakataa wenyewe?
Troublemaker said: Binafsi huwa siwahesabu wamisri kama sehemu ya Afrika hata ngozi yao ya mwili hujieleza kuwa wao si wa huku. Kuanzia Misri, Morocco,Tunisia etc. Click to expand... Aisee, kumbe huwa mnaanza kuwakataa wenyewe?