FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #41
Mwaka si ndio unaisha huu?Mwaka jana makamba alitangaza vita na hii mifuko na kusema mwishon mwa mwaka huu ndo itakuwa mwisho wa matumizi yake nchini...
Mwaka 2018 huu umeshaanza, Makamba na Makonda hawajatimiza ahadi zao, na hakuna daliliEeeh
ππππHiyo namba 2 wakiisikia hao jamaa (mashoga) itakuwa ndio kisingizio chao na watachoma hiyo mifuko kupita maelezo ili watuambukize.
Mbona Makamba anawaambukiza kila kukicha na wapo kimyaππππ
Unadhani ni kwanini serikali inalifumbia macho suala hili? Rushwa?Ni lethal walahi!
Mola atusaidie!