Fahamu hatari kubwa zinazozikabili nchi zinazotumia mifuko ya plastiki

Tunasubiri kwa hamu upigwaji marufuku mwezi July
 
Yule kijana waziri mdogo aliyejifanya anasubiri wadau na machakato wa upembuzi yakinifu yabisi bado atafanya huo mkutano na hao watu wake?
 
Yule kijana waziri mdogo aliyejifanya anasubiri wadau na machakato wa upembuzi yakinifu yabisi bado atafanya huo mkutano na hao watu wake?
Huo mkutano ulikuwa ni zuga tu, na JPM alishasema hataki mawaziri wa michakato, huyu ni anakwenda na maji..!
 
Kwenye majumba yetu ambako kila siku hutumia mifuko hiyo kuwashia moto hali ikoje kama ni kweli hicho ulichokinukuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…