Fahamu hatari kubwa zinazozikabili nchi zinazotumia mifuko ya plastiki

Fahamu hatari kubwa zinazozikabili nchi zinazotumia mifuko ya plastiki

Matumizi ya mifuko ya plastiki inaweza kusababisha madhara yafuatayo;

1.) Kansa za aina mbali mbali
- Uchomaji wa mifuko ya plastiki majumbani, mabarabarani, mahospitalini pamoja na kwenye madampo husababisha kemikali za sumu aina ya carcinogens kusambaa hovyo kwenye hewa unayovuta. Mfano wa kemikali hizo ni 'Dioxins' na 'Furans' ambazo tafiti zimeonyesha kuwa na uhusiano mkubwa sana na magonjwa ya cancer na hata matatizo ya mifumo ya upumuaji kwa binadamu. Tupime kodi tunayokusanya kwenye mifuko hii vs hasara na mateso tunayopata kutibu watu kule hospital ya cancer ya ocean road, mamlaka zinazohusika zitumie walau 2% ya uwezo wa kufikiri waliopewa na Mungu, 2% tu is enough kufanya maamuzi sahihi.

2.) Matatizo ya homoni za jinsia (Ushoga na usagaji)
- Kemikali ya 'Dioxin' ambayo hupatikana kwenye moshi wa taka za plastiki zilizochomwa, endapo itavutwa kwa njia ya hewa na mtoto mchanga, utafiti umeonyesha kwamba inaweza ikasababisha mfarakano katika mfumo wa homoni za jinsia kwa mtoto huyo. Mtoto wa kiume anaweza akaja kuanza kuonyesha tabia za mtoto wa kike, na mtoto wa kike anaweza akaanza kuonyesha tabia za mtoto wa kiume hapo baadae, hivyo kupelekea kuongezeka kwa mashoga na wasagaji katika jamii. Waziri anaehusika apime haya na afanye maamuzi sahihi. Hapa atumie 1% tu ya uwezo wa kufikiri aliopewa,1% is enough.

3.) Matatizo ya mfumo wa uzazi kwa wanaume wasio mashoga ( Uhanithi na 'low sperm count')
-Utafiti umeonyesha pia, katika maeneo ambayo wanaume wake wamekuwa 'exposed' na kemikali za 'Dioxins' na 'Furans' kwa muda mrefu, pamekuwa na ongezeko la kushindwa kusimamisha viungo vya uzazi (usenge) pamoja na kuongezeka kwa matatizo ya wanaume kushindwa kurutubisha mayai (Low sperm count/weak sperm cells). Hili linahitaji kitabu kizima kuanza kufafanua, nashauri kila mtu akafanye research zaidi kwenye makala za kitabibu ili kupata undani wake. Pia katika maeneo hayo, imeonekana kwamba wasichana wanavunja ungo mapema mno. Hii hali naiona sana Tanzania, waziri unaehusika, waokoe wananchi wako.

4.) Athari za kiafya kwa wanyama, ndege na samaki
- Wanyama kama n'gombe hufananisha mifuko ya plastiki na chakula, hivyo huweza kuimeza na kusababisha kuziba kwa utumbo na hatimae kifo.

5.) Mifuko ya plastiki huweza kukaa hadi miaka 500 bila kuoza.
- Mifuko hii huwa haiozi bali huvunjika vunjika na kuwa vipande vidogo vidogo sana ambavyo huweza kujichanganya katika mifumo yetu ya maji na chakula na kusababisha watu kula na kunywa plastiki kwa kiwango kikubwa sana bila kujijua. Vipande hivyo vya pastiki ni sumu inayoua taratibu.

6.) Mifuko ya plastiki hupeperuka kirahisi na kuchafua mandhari.
- Kutokana na kuwa miepesi sana, mifuko hii hupeperuka kirahisi kutoka kwenye vyombo vya kubebea taka na kwenye madampo, hivyo kusambaa hovyo kwenye makazi ya watu na kuharibu mandhari, pia huziba njia za maji na kusababisha mafuriko, pia mifuko hii hutumika kama mazalio ya vilui lui vya mbu waenezao malaria.
Uchambuzi mzuri
 
Hiyo namba 2 wakiisikia hao jamaa (mashoga) itakuwa ndio kisingizio chao na watachoma hiyo mifuko kupita maelezo ili watuambukize.

Hapo kwenye namba 3 kumefanya nitangaze vita rasmi na mifuko ya plastiki....shubaaaaamitt!
Wewe bila shaka utakuwa kipanya wA Mawingu Studio, au sio, hilo neno lako la mwisho kwangu ni utambulisho tosha,
 
Mwaka jana makamba alitangaza vita na hii mifuko na kusema mwishon mwa mwaka huu ndo itakuwa mwisho wa matumizi yake nchini...
 
Mwaka jana makamba alitangaza vita na hii mifuko na kusema mwishon mwa mwaka huu ndo itakuwa mwisho wa matumizi yake nchini...
mbona juzi kahojiwa anasema bado kuna mchakato wa kiserikali
 
_97568617_gettyimages-160867248.jpg
 
Hiyo namba 2 wakiisikia hao jamaa (mashoga) itakuwa ndio kisingizio chao na watachoma hiyo mifuko kupita maelezo ili watuambukize.

Hapo kwenye namba 3 kumefanya nitangaze vita rasmi na mifuko ya plastiki....shubaaaaamitt!

[emoji23][emoji23][emoji23] hahah mkuu kwahiyo unataka kusema wale jamaa wataendelea kusupport matumizi ya mifuko ya plastic.
 
How Countries in Africa are Winning the Fight Against Plastic Pollution

Environment, Science, Research
By Emily DiFrisco

The scourge of plastic pollution has far-reaching environmental and animal and human health consequences all over the world, and countries in Africa are no exception. Plastic trash impacts African communities on multiple levels: when discarded plastic bags fill with rainwater, they attract malaria-carrying mosquitoes. Dumped in rivers and lakes, plastic bags choke, strange, and kill marine life. Plastic trash blocks storm drains and can cause flooding—a devastating 2015 flood in Ghana caused by plastic-blocked drains killed 150 people.

The harmful effects of plastics continue as they photodegrade, or break into tiny pieces. Like pebbles on a beach, microplastics are nearly impossible to “clean up” and pose toxicity risks to the global food chain.

The good news? Individual countries in Africa have recently had success in the fight against plastic pollution. In the next few months, Kenya’s ban on single-use plastic bags will take effect, following Rwanda, which outlawed them in 2008. Eight other countries: Cameroon, Guinea-Bissau, Mali, Tanzania, Uganda, Ethiopia, Mauritania, and Malawi each have also announced bans.

While celebrating the successful plastic bag bans, PPC member Bahati Mayoma, a scientist located in Tanzania, says more awareness, research, and bans on single-use plastic are critically needed in countries across Africa. Mayoma worked on the first study to report the presence of microplastics in Africa’s Great Lakes, and he says those lakes are under threat.

“Microplastic contamination in the African Great Lakes is currently unreported, and compared to other regions of the world little is known about the occurrence of microplastics in African waters and their fauna,” writes Mayoma in the 2015 study. Mayoma and his colleagues conducted their research in the Mwanza region of Tanzania, on the southern shore of Lake Victoria.

Mwanza+City%26Landing+site+where+we+bought+fish.JPG

Nile+perch.jpg

Nile Perch

Nile+Tilapia.jpeg

Analysis+at+Danish+lab.JPG


After purchasing two species of fish from a local auction (20 Nile perch and 20 Nile tilapia), the researchers dissected the fish and examined their gastrointestinal tracts under microscope. The results were clear: microplastics were present in 20 percent of both fish species.

The results of the study are troubling for both the local economy and animal and human health. Experts at the local fisheries research institute were astounded by the presence of microplastics in the fish and the conclusion that they could travel up the food chain.

“These are important fish for the local economy, sold locally and internationally and even served in European markets for upscale restaurants,” Mayoma says of the far-reaching implications.

Also concerning to Mayoma is how microplastics may travel and harm ecosystems. He sees plastic pollution washing ashore on Tanzania Island, a breeding site for sea turtles. “People need to understand where the plastic is washing up,” he says of the need for more research.

For now, Mayoma celebrates the recent successes. “In Tanzania, the government is taking some steps to ban single-use plastic items. The government recently stopped people from selling all alcohol packed in plastic,” explains Mayoma, who says this measure is already cutting down on plastic pollution. “I'm in talks with local coastal conservation groups discussing about the campaign of collecting plastic washing on shore, and I see good progress.”

Are you working on stopping plastic pollution in Africa? Let us know: email emily@plasticpollutioncoalition.org

Learn how to start a plastic bag ban in your town.

Take the pledge to refuse single-use plastic.

Join our global Coalition.
 
Not so long ago, Rwanda suffered from an all-too-familiar problem in Africa: billions of plastic bags choking waterways and destroying entire ecosystems. To fight this scourge of the environment, the government launched a radical policy to ban all non-biodegradable plastic from the country.
Since 2008, anyone arriving in Rwanda is ordered to give up their plastic or have it confiscated. Flight attendants pre-warn passengers as they land in the capital Kigali and authorities are braced to seize this new form of contraband at the border with other African nations.

As with many other illegal goods, plastic bag trafficking has become lucrative and offenders can end up in jail.
While Rwanda has been hailed for transforming its landscape, certain businesses have suffered as a result of the law. The alternative to plastic bags is paper, which is both more expensive and less durable.

In this first episode of Down to Earth, we travel to Rwanda to investigate whether banning plastic is an untenable attempt at preserving the environment or an audacious policy that serves as a lesson to the rest of the continent.
 
Waziri anapiga sana danadana hii ishu. Juzi kasema eti wanawasiliana na wizara ya viwanda kuona wanatatuaje hili suala!!!. Kwao wanaona kodi na fedha wanazopewa na wenye viwanda ni muhimu kuliko mazingira! Huyu makamba ndiyo alikuwa anataka urais wakati ishu ndogo kama hii anashindwa kutoa maamuzi ya kiume!? Hovyo kabisa!!!!
 
Waziri anapiga sana danadana hii ishu. Juzi kasema eti wanawasiliana na wizara ya viwanda kuona wanatatuaje hili suala!!!. Kwao wanaona kodi na fedha wanazopewa na wenye viwanda ni muhimu kuliko mazingira! Huyu makamba ndiyo alikuwa anataka urais wakati ishu ndogo kama hii anashindwa kutoa maamuzi ya kiume!? Hovyo kabisa!!!!
Maamuzi madogo tu ya Kiume kama mwanaume yanamshinda, ndio aje kuongoza taifa?! hamwoni JPM anavyo bulldoze kwenye masuala ya msingi.., ila yeye anareeeeeeembaaa, aaagh..!!
 
Najiuliza swali sipati jibu, serikaliyaawamu ya tano imefanikiwa kuleta mabadiliko maeneo mengi. eg: pombe za viroba, nidham na uwajibikaji kwny kazi, vyeti feki; etc. Kwa kweli kwa haya nampongeza sana mheshimiwa Rais, Ila Kuna jambomoja linanitesa kichwani, hivi Hawa wa plastic bags;wameshindikana kabisa? Kuna siri gani inawafanya wawe !untouchable !? Kuna uchawi gani wanaotumia kiasi cha kufanya serikali ya awamu tano kutowashtukia?
 
Najiuliza swali sipati jibu, serikaliyaawamu ya tano imefanikiwa kuleta mabadiliko maeneo mengi. eg: pombe za viroba, nidham na uwajibikaji kwny kazi, vyeti feki; etc. Kwa kweli kwa haya nampongeza sana mheshimiwa Rais, Ila Kuna jambomoja linanitesa kichwani, hivi Hawa wa plastic bags;wameshindikana kabisa? Kuna siri gani inawafanya wawe !untouchable !? Kuna uchawi gani wanaotumia kiasi cha kufanya serikali ya awamu tano kutowashtukia?
Tuendelee tu kupaza sauti pengine watatusikia...
 
Kwa kiwango kikubwa, mifuko ya plastiki imechangia kusababisha mafuriko kutokana na kuziba kwa madaraja, mifereji na mito
 
Back
Top Bottom