Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo unakuwa huna utofauti na mtu anayebeba mkaa kwenye LC VX-V8Sure uko sahihi mkuu, au mtu ananunua hiyo TV halafu anatumia deki ya Singsung kaweka CD ya DJ MURPHY iliyotafsiriwa, bwana weee utapenda hako ka picha kanakotokea.
Yaani nikipata hivyo vitu nje sitoki ng'ooo kila siku najifungia ndaniMimi nachojua sasa hivi nataka Smart TV 65" inches na PS4 + HI-FI system, nile mangoma ya kimbele na GTA V.
Umesahau hii: Kuliko kutumia gharama kwa kununua Smart Tv angalau unaweza kununua TV ya kawaida (isio smart) then ukanunua na Tv Box
I have a couple of 1TB/ 500 GB SSDs I could use for that. I understand HDD are where the bottlenecks are right now.Unless uhamie kwenye SSD ama optane hio network ya 10GBps haitakusaidia, HDD ikikazana sana Ni 150MBps.
Yeah. I was replying to Chief-Mkwawa on this, I have a couple of 1TB and 500gb SSD I could use for this project.HDD won't save you, welcome to another world were speed is our first priority SSD.
Inaandikwa UHD katika box, kuhusu originality inategemea mfuko mkuu.Kwa sisi tunaotoka vijijini tutajuaje kuwa hii TV ni
4K. Inaandikwa wapi kama ni original.
Hakuna.Ningependa kujua TV gani inaonesha TBC very clear
Sure uko sahihi mkuu, au mtu ananunua hiyo Tv halafu anatumia deki ya Singsung kaweka CD ya DJ MURPHY iliyotafsiriwa, bwana weee utapenda hako ka picha kanakotokea.
Mkuu toa ufafanuzi kidogo hiyo TV Box ni nini na matumizi yake kiongoziUmesahau hii: Kuliko kutumia gharama kwa kununua Smart Tv angalau unaweza kununua TV ya kawaida (isio smart) then ukanunua na TV Box
Hata 4K Ultra HD?Hakuna.
Ni kwamba bado unaangalia CD za kutafsiriwa?Mkuu hivi ni deki gani nzuri kwa sasa kununua? Maana kampuni nyingi hadi tunachanganyikiwa
Kama unataka HD picha achana na deki zinazotumia Av cable kama hizi:Mkuu hivi ni deki gani nzuri kwa sasa kununua? Maana kampuni nyingi hadi tunachanganyikiwa