Fahamu jinsi ya kuchagua TV nzuri itakayokufaa kabla hujanunua

Fahamu jinsi ya kuchagua TV nzuri itakayokufaa kabla hujanunua

Pia kwa mwaka 2019 kwenda mbele ni vizuri kuzingatia vitu kama:

- Display Technology, hapa inaweza kuwa Oled, Qled etc

- Pia view angle ya Tv ni nzuri sana kwa seat arrangement hii depend na chumba chako kikoje, maana kuna Tv ukikaa pembeni ya kochi tu unaona kama ukungu (Star X nyingi na michina mingine hii view angle kwao shida)

- Contrasts ratio, HDR compatibility hapa utapata picha moja kali sana hasa ukiwa na Dolby version HDR, input and output pia la kuzingatia hili.
 
Kweli ndugu ila je una ujuzi zaidi kuhusu Tv box nzuri sana ni ipi?
Umesahau hii: Kuliko kutumia gharama kwa kununua Smart Tv angalau unaweza kununua TV ya kawaida (isio smart) then ukanunua na Tv Box
 
Unless uhamie kwenye SSD ama optane hio network ya 10GBps haitakusaidia, HDD ikikazana sana Ni 150MBps.
I have a couple of 1TB/ 500 GB SSDs I could use for that. I understand HDD are where the bottlenecks are right now.

I tried using SAS,but even as SAS is a little better than SATA in speeds and being duplex, I am still not satisfied by the speeds as well as SAS storage capacity (2 TB SAS vs 10 TB SATA).SAS drives are very expensive at higher storage capacity, as they are mainly enterprise servers level drives.

I could set up a "dump" on the SSD directory for syncronizing file transfers, once moved I could sort and move to my respective folder structure at a leisure.
 
HDD won't save you, welcome to another world were speed is our first priority SSD.
Yeah. I was replying to Chief-Mkwawa on this, I have a couple of 1TB and 500gb SSD I could use for this project.

I am taking my time to research right and get the right gear, no rush. I have rushed in the past, only to buy gear I don't need.
 
Kwa sisi tunaotoka vijijini tutajuaje kuwa hii TV ni
4K. Inaandikwa wapi kama ni original.
Inaandikwa UHD katika box, kuhusu originality inategemea mfuko mkuu.

Zipo za Kichina 43 inch kuendelea utazipata mpaka kwa 1 million, ila hizi za majina makubwa LG, Samsung, Sony, TCL utajipanga kuanzia 1.9 million kwenda juu. Ila kuna jamaa anauza mtumba mpaka 1.1 million zipo.
 
Mkuu hivi ni deki gani nzuri kwa sasa kununua? Maana kampuni nyingi hadi tunachanganyikiwa
Sure uko sahihi mkuu, au mtu ananunua hiyo Tv halafu anatumia deki ya Singsung kaweka CD ya DJ MURPHY iliyotafsiriwa, bwana weee utapenda hako ka picha kanakotokea.
 
Mkuu hivi ni deki gani nzuri kwa sasa kununua? Maana kampuni nyingi hadi tunachanganyikiwa
Kama unataka HD picha achana na deki zinazotumia Av cable kama hizi:

1-5m-av-cable-rca-cable-triple-3-rca-composite.jpg


Ukienda nunua deki hakikisha deki yako inatumia huu waya wa HDMI ndio wenye picha nzuri


0012298_3-meter-984-ft-high-speed-hdmi-cable-with-ethernet.jpeg


Kuhusu deki gani nzuri hapo ni wewe sasa mkuu ila mimi nimeongelea ubora wa picha tu. Makampuni yapo mengi yanayotoa deki so hapo ni wewe na uchaguzi wako Boss.
 
Back
Top Bottom