sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,291
Af hii scania yko ni old model in new designsi nikajua yamekwisha..khaa tumevuka tena huko nakuta foleni..nakuta goldstar na Gp international nao wamepigwa pini..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 1416452
View attachment 1416453
141 hiyo.. Ina kelele balaa..Af hii scania yko ni old model in new design
mi mwenyewe ni mwendo wa manual tu ndo unaifaidi game..afu uzuri wa manual uchukue engine ya kawaida tu hapo ngoma hadi ije ichanganye gia zinavyoingia mvumo unausikilizia tumboni tu..
Manual kwa keyboard inafaa vizuri tu
Yeah inafaa vizuri tu... mi natumia pad naona ndo inanoga zaidi..
Dah mkuu unakosa raha ya kuchange gear kwny milima
Hv km unahitaji accessories like steering kwa ajili ya kusukumia ets2 unaweza pata kwa shs ngp na maduka gn mkuuYeah inafaa vizuri tu... mi natumia pad naona ndo inanoga zaidi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah mkuu unakosa raha ya kuchange gear kwny milima
Ila mm cjajua bdo kutumia hyo H-shifter, but manual pia ni tamu sana
Mkuu ile TE tool mbona kila nikijiongezea money kwenye game haiongezeki.1.36 kwa raha zangu mie
Karibu kijana1.36 kwa raha zangu mie
Nipo Chile kidgo naenjoy mandhari [emoji2]