sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,291
basi bana leo nimetoka bandarini pale nataka kuvuka kigamboni sjui kuna nini kimetokea ni foleni na mapolisi kibao.. sjui ni msako wa korona huu..😅😅 nikamkuta na mzee wa chai bora nae kapigwa stop..
😳😳
basi tumekaa hapo mara mzee wa twiga cement nae kaja kapigwa mkono..
basi wametuwekaa hapo wee mpaka tumevuka masaa mawili..😂😂
basi tumekaa hapo mara mzee wa twiga cement nae kaja kapigwa mkono..
basi wametuwekaa hapo wee mpaka tumevuka masaa mawili..😂😂