Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Sorry wakuu sikuwepo online kwa mda samahan kwa hilo ila Hii manual inapatikana kwa bei ya 300000 kama unahitaji ya wireless ila kama ya wired ni 240000 na inatengenezwa kwa oder sababu ni changamoto ya wateja. Hii device ni ngumu na nzuri kwa ajili ya mafunzo ya udereva
 

Unakua unaendesh buss
Au truck za kawaida ila unapishana nazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…