Kwasasa kupata mashine nyingine ni ngumu..au niweke hata version nyingine ya chini yake?hii ni i7 kizazi cha kwanza ndiyo utacheza ila ni kwa low graphics sana kwa ushauli
tafuta ki mashine angalau chenye graphics card kuanzia gb 2 hapo uta enjoy
Aise humu hamna wadau wapo Mwanza waniwekee hiki kitu.
Tukae humo
Mkuu mbona hii unaweza kuweka hata ww mwenyew,una computer yenye sifa gan?
Hiyo unyamaa mkuu,we pakua tu file hyoHata game lenyewe sina.
Hp Elitebook 8540p
Intel(R) Core (TM) i7 CPU M 640@2.80Ghz
Installed memory(RAM) 8.00 GB
game naipakulia wap chiefHiyo unyamaa mkuu,we pakua tu file hyo
Hii inacheza mkuu tena HIGH sio lowYap inaweza japo itacheza Kwa row quarity ya chini sana .
Daah sasa nalipataje hilo dudeHii inacheza mkuu tena HIGH sio low
Muhimu iwe inatumia SSD hizi latest
ninayo ye SPECS hizo sema yangu ni 16gb ram ACER
Hii inacheza mkuu tena HIGH sio low
Muhimu iwe inatumia SSD hizi latest
ninayo ye SPECS hizo sema yangu ni 16gb ram ACE
Hapo ucheze na versoni .1.28 mpk 1.30
Amna kitu hii PC hiyo ni 1stgen ya hovyo sana kwa ets2 lbda acheze version za chini 1.28 kwa medium settingHiyo unyamaa mkuu,we pakua tu file hyo
1st gen? Ila bado atacheza tu kweny mediumAmna kitu hii PC hiyo ni 1stgen ya hovyo sana kwa ets2 lbda acheze version za chini 1.28 kwa medium setting
Ndio
Beba PC yoyote kuanzia Core i5 8th genNataka nichukue dell latitude 7280 vipi itakubali kucheza