Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

hii ni i7 kizazi cha kwanza ndiyo utacheza ila ni kwa low graphics sana kwa ushauli
tafuta ki mashine angalau chenye graphics card kuanzia gb 2 hapo uta enjoy
Kwasasa kupata mashine nyingine ni ngumu..au niweke hata version nyingine ya chini yake?
 
Vp na hapa


Hp Elitebook 8540p
Intel(R) Core (TM) i7 CPU M 640@2.80Ghz
Installed memory(RAM) 8.00 GB
Hapo ucheze na versoni .1.28 mpk 1.30
Ndo utaenjoy kiasi lkn inakuwa ina restart restart sana km sio kuzima ghafla
1.45 utaua PC yako 7bu hiyo PC processor zake 1st gen zinapata moto sanaa
Tena utumie na WINDOW 7 kidogo ndio itakuwa afadhari kiasi ukiweka WINDOW 10 ndo kabisa driver za VIDEO haziko optmize kabisa na WINDOW 10
 
Nataka nichukue dell latitude 7280 vipi itakubali kucheza
Beba PC yoyote kuanzia Core i5 8th gen
Display kuanzia 14.0" inch (recommended 15.6")iwe kuanzia Full HD au 4K

7280 nzuri ukipata i7 ina full HD na zinatumia SSD(m.2) pekee
Kipengele kioo kidogo ni 12.5"inch hautaenjoy GAME
Ila game inacheza vizuri kabusa bila shida

7280 kuna i3 i5 na i7
i3 achana nayo chukua ya i7
 
Hii lenovo x1 yoga 360 core i5 6thgen.. ina ssd..

Itaweza kweli hili latest game....
 
Back
Top Bottom