Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
Kwasasa kupata mashine nyingine ni ngumu..au niweke hata version nyingine ya chini yake?hii ni i7 kizazi cha kwanza ndiyo utacheza ila ni kwa low graphics sana kwa ushauli
tafuta ki mashine angalau chenye graphics card kuanzia gb 2 hapo uta enjoy