Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Wakuu habari,

Game yangu leo nimeingia naona all my saves zimepotea inanitaka kucreate new profile..

Msaada kwa waliopitia hii changamoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiii mod balaaa,msiniulize nipo wapi😁
 
Attachments

  • ets2_20191219_075250_00.png
    513.6 KB · Views: 2
  • ets2_20191219_075817_00.png
    442.4 KB · Views: 2
  • ets2_20191219_075907_00.png
    523.9 KB · Views: 2
  • ets2_20191219_083256_00.png
    367.7 KB · Views: 2
  • ets2_20191219_083320_00.png
    334.9 KB · Views: 2
  • ets2_20191219_083330_00.png
    402.7 KB · Views: 1
  • ets2_20191219_083429_00.png
    327.8 KB · Views: 2
  • ets2_20191219_083502_00.png
    446.1 KB · Views: 2
  • ets2_20191219_083637_00.png
    364.2 KB · Views: 2
Nakwambia balaa... Ngoja niiweke hapa mjionee
Thanx Mkuu ngoja nikatafute bundle maana Milima mito na mabonde ndio ujasiri wa dereva sio lami tu km Europa, Brazil au Eldorado
 
Ndio mkuu inatokea miji miwili tu...uko sahihi...chagu mmoja anza kazi
Ni kweli Puno cha mtoto, mpaka nilipofika level ya 11 ndio nikaanza kwenda mbali, mieleka kama kazi ipo ya kwenye kina cha mito. bahari,
mahali pa masaa 12 unatumia masaa 36 na gereji hakuna
Hii Hondurus chiboko, loho mkononi ati
 
Hahaha yani hakuna kitu roho inauma kama ukila mzinga mana unajua kuipata garage sio mchezo[emoji16][emoji16]

Jamaa barbara nyembambaaaa ,yan huku kama una ile engine ya 3000 basi hutoboi[emoji16][emoji16]

Milimaa unapanda hadi gari inataka kugeuza...huu mzgo nomaa..alaf balaa lote hili map kb 800 eti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Version mpya mod za no damage hamna..???
Tangu nimelinstall sijalicheza kabisa

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
 
Ngoja niweke check point,ukiifikia hiyo nitasema kweli umeiva miliman
Ni kweli Puno cha mtoto, mpaka nilipofika level ya 11 ndio nikaanza kwenda mbali, mieleka kama kazi ipo ya kwenye kina cha mito. bahari,
mahali pa masaa 12 unatumia masaa 36 na gereji hakuna
Hii Hondurus chiboko, loho mkononi ati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…