Wakujilipua
JF-Expert Member
- May 5, 2018
- 1,584
- 1,393
mkuu huko kufika ni kazi sana yaani una pita juu ya makontena mara juu ya nguzo mara kwenye reli yaani ni vurugu tupu. we muulize k camp anapajua vizuri tuView attachment 1301906
duh huku bado sijafika ingawa nipo Divine Champion hawajanipa Mji wa 3
wala Scania au Volvo siyaoni moja nijikongoje
Jamani kwa mapumziko ya X-MAS na HAPPY NEW YEAR kuna Member wa ETS-2 humu ndani kawamwagia Puno Peru ya kufa mtu, naona wamewajibu Hondurus
ina 5.8Mb duh safari hii tunaingia 2020 kivyakevyake
uzi ulianzishwa 2017 Julai 17, na kcamp na haujadoda
huku kila mara ETS-2 analeta mabadiliko safi sana
mkipata nafasi na bundle mukawacheck Peru wanavyotaka kumjibu Hondulandia
ucpo kuwa ni deleva makini kabisa wa ets2. maeneo haya haupiti ng'o
Mkuu hii game sina, mie nnalo la dream soccer tu,,Iasee hapa nilkula mzinga sikurud tena kupita..ngoja nkfanye mpango niparudie
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hili game la pc , Wala sio la simu...tafuta pc tukupe linkMkuu hii game sina, mie nnalo la dream soccer tu,,
Sasa nataka kupakua hili game,, link ipi nzuri,, natumia android ya kawaida tu[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ume install game version ipi?Chief hizo packs nazipataje,game nimeshainstall
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu kcamp samahani naomba kujua hv ukisha install game hzo map unafanyaje ili zi work kwny game lako na je hyo program ya ets2 unaweza kutumia hz link kuipakua? Namaanisha km huna kabisa program kwny pc
Map of the Republic of Tajikistan v 1.0 1.36.x - Allmods.net
Standalone map, you must choose tad.mbd module. You need all DLC Tested on 1.35 + 1.36 Credits: UMT Download mod File File size Tadjikistan_map_v1.0 1 GBallmods.net
Map nyingine hiyo full rough roads..balaaa
Mkuu kcamp samahani naomba kujua hv ukisha install game hzo map unafanyaje ili zi work kwny game lako na je hyo program ya ets2 unaweza kutumia hz link kuipakua? Namaanisha km huna kabisa program kwny pc
Sent using Jamii Forums mobile app
Ramani ya Peru death road ni noma lakini ramani ya Hondula ni kiboko nimepiga ruti ramani zote ila hondula nimeivulia kofia
Ramani ya Peru death road nimeimaliza yoteView attachment 1303876
Mkuu Tajikstan kwangu imegomma kabisa, imetoa mafaili 7 ya Mods ambayo hayafungukiKuna mtu kwake hii imekubali kucheza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Iasee hapa nilkula mzinga sikurud tena kupita..ngoja nkfanye mpango niparudie
Basi hii map kimeo..hata mim imenichomoleaMkuu Tajikstan kwangu imegomma kabisa, imetoa mafaili 7 ya Mods ambayo hayafunguki
imebidi niyaondoe kule Document. kwa hiyo mm yamegoma