Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Nikipata muda kesho nitatupia akaunti yangu hapa,na garage kama 40 na truck mia na kitu,na hapo na miezi 4 sijacheza hii game kutokana na ubusy,kitu kimoja tu kinaniboa siwezi kutumia mods,nilijaribu sana lakini sikufanikiwa
Naombeni utaratibu wa kubadili lugha kutoka Russia to English. Nili-unstall game sababu nilipiga windows chini, nilipo-install tena game, nilitick kabisa kwenye bendera ya marekani iwe ndio lugha nitakayoitumia, lakini game lilipomaliza kuinstall lugha iliyokuja ni hiyo Russia,. Nimejaribu mara mbili kuistall lakini hali inajirudia hiyohiyo.
View attachment 1344020

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naona russian baikal ipo kabisa tena ni v 1.36. sema hapa jamaa kaandika ki russian YouTube
 
Attachments

  • Shot 012.png
    Shot 012.png
    320.3 KB · Views: 3
Hongera mkuu..ila sisi Humu tunaipiga map tunahama..yani huo muda kwa kukusanya garage na magar hatuna [emoji16]
Nikipata muda kesho nitatupia akaunti yangu hapa,na garage kama 40 na truck mia na kitu,na hapo na miezi 4 sijacheza hii game kutokana na ubusy,kitu kimoja tu kinaniboa siwezi kutumia mods,nilijaribu sana lakini sikufanikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikipata muda kesho nitatupia akaunti yangu hapa,na garage kama 40 na truck mia na kitu,na hapo na miezi 4 sijacheza hii game kutokana na ubusy,kitu kimoja tu kinaniboa siwezi kutumia mods,nilijaribu sana lakini sikufanikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu ila una moyo. mimi siwezi kabisa kucheza ETS2 bila mod
 
Back
Top Bottom