Wernery G Kapinga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 376
- 127
Da.. sa mi napenda kujiona nipo ndani yaani mi ndo Dereva.. aaah. Acha kabisa[emoji3][emoji3]Nipo Chile kidgo naenjoy mandhari [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Da.. sa mi napenda kujiona nipo ndani yaani mi ndo Dereva.. aaah. Acha kabisa[emoji3][emoji3]Nipo Chile kidgo naenjoy mandhari [emoji2]
Wakubwa hizi ni Game au real? Kwani kwenye Euro Truck kuna Azam?[emoji41]si nikajua yamekwisha..khaa tumevuka tena huko nakuta foleni..nakuta goldstar na Gp international nao wamepigwa pini..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 1416452
View attachment 1416453
Wakubwa hizi ni Game au real? Kwani kwenye Euro Truck kuna Azam?[emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2]Da.. sa mi napenda kujiona nipo ndani yaani mi ndo Dereva.. aaah. Acha kabisa[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu si mimi labda tumuulizie SIJUI MIMI ndo mwenye hiyo ideaMkuu ile TE tool mbona kila nikijiongezea money kwenye game haiongezeki.
Nimefanikiwa kuongeza level tu
Sent from my SM-G532F using Tapatalk
sana yaani network ilikuwa inazingua ile mbaya
kweli we mkali saa hii usha hama russia uko chile!! na vip kuhusu mipaka haija fungwa kweli # corona#Nipo Chile kidgo naenjoy mandhari 😃
naona trailer mbili hapo zime shineNipo Chile kidgo naenjoy mandhari 😃
kweli we mkali saa hii usha hama russia uko chile!! na vip kuhusu mipaka haija fungwa kweli # corona#
naona trailer mbili hapo zime shine
kapotea sana humu jukwaani
daaah! kheri yako mkuu mi nilidownload hiyo map mpaka ikafika gb 4 daah mtandao nao ukazingua yaaani niipo😡😡😡Haha kuna map ya EA nilikua naitest kidogo..mana nilipakua alaf skuwah ianza...ila kesho narud zangu Russia kwa goba...mana ile kitu bab kubwa
Then kuna map kali kama 3 hivi nimepakua moja 1 leo, hzo mbil hadi wkend...ni map tamu sana...yan map kibao alaf muda mchache dah...nitaweka link zake kesho
Mipaka ipo wazi uswaze mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes mkuu pia hii map ina madhar nzur sana..yan unatembea huku unashangaa mazingira
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakua amekula mzinga hondulandia[emoji16]kapotea sana humu jukwaani