Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Wala usiende Brazil wala Russia
wewe pakua hiyo Map ya Hondulandia uitupie Mod haina hata 1 MB
utanikuta mm nacheza na 1.37 version nakusubiri twende wote
huku speed mwisho 30km/h hiyo 150km/h ni Brazil na Europa
View attachment 1452905
Yan 30km/hr mbona ntaona sifaidi engine yangu 2400HP, BRUTAL SOUND OPEN PIPE + MERCED BENZ 21gears+2reverse AUTOMATIC RETARDER
 
Mimi kiukweli napenda gari ikimbie bwana, speed ni 150km/hr kwenye kona unapiga retarder++ yaani ni kama niko kwenye gari kweli
 
Yan 30km/hr mbona ntaona sifaidi engine yangu 2400HP, BRUTAL SOUND OPEN PIPE + MERCED BENZ 21gears+2reverse AUTOMATIC RETARDER
hiyo Map isikie tu hakuna cha speed ni uendeshaji wako ndio unatakiwa hayo ma OPEN PIPE funga, gear box gear 30 weka Horse power zote weka haina maneno lkn karibu Hodolandia
uliza walitumia Hondulandia, speed ni Brazil na Bara ulaya
km ulitumia Puno Peru ndio hivyo speed hahitajiki ni umakini km utamaliza kilomita 10 ww dereva wa ETS-2 Simulator kweli
 
mkuu kumi mbona nying tano ni kisanga
 
duh mm nina hamu naye huyu dereva wa maspeed Baba Nla jinsi atakapopita ju ya wiya au reli au lile box kwa 150 km/h
hizo sehemu wakongwe tunapita na speed 2km/h mpaka 5km/h
hebu mkaribisheni mm nipo msituni nimekwama kweny gogo namsubiri
ngoja aje akukwamue hapo mstuni but namwo nea huluma kwa mieleka na mizinga atakayo pambana nayo
 
daaah!! jaribu kucheza hondura ya v 136 ni kisanga ugumu umeongezeka * 2 zaidi
kumbe kuna tofauti mm nilidhani wameongeza vitu vichache km resolution (rangi na mandhari ya picha) hapo natoka Hondulandia naelekea La mans basi nitarudi nyuma 1.36
1589744633592.png

nitaipata wapi hiyo Hondura nyingine, mm nilidhani ods ni zilezile, maana natumia zilezile km za Damage, Fast etc
 
kumbe kuna tofauti mm nilidhani wameongeza vitu vichache km resolution (rangi na mandhari ya picha) hapo natoka Hondulandia naelekea La mans basi nitarudi nyuma 1.36
View attachment 1452950

no damage fast , money we tupia tuhavina shida maana nami ndo natumia toka kipind kile
 
kumbe kuna tofauti mm nilidhani wameongeza vitu vichache km resolution (rangi na mandhari ya picha) hapo natoka Hondulandia naelekea La mans basi nitarudi nyuma 1.36
View attachment 1452950
nitaipata wapi hiyo Hondura nyingine, mm nilidhani ods ni zilezile, maana natumia zilezile km za Damage, Fast etc
km zimeongezwa na ile tren haipo tena yaani ni full mieleka
 
kumbe ni mpya mm ninayo ile ya miji mitatu tu
na hapa Le Mans naingia kushusha mzigo on Time ndani ya version 1.37
naomba link ya hiyo Mods mpya ya Hondulandia isiyokuwa na reli maana unaweza kuta ni kati ya page zetu kuanzia 90 mpaka 120 ndio sikuwepo na mashine ilinisumbua
1589749784834.png
 
View attachment 1453000
on time we ni kiboko ni chuma gani hicho scania,volvo au benz
 
Back
Top Bottom