Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
Mkuu achana na simujanja (Android)Android pc mpaka niweke ram 8
tumia Computer hata km ina RAM 4GB
twende pamoja anza na version za chini km 1.35 au hata 1.37 zinacheza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu achana na simujanja (Android)Android pc mpaka niweke ram 8
Yan 30km/hr mbona ntaona sifaidi engine yangu 2400HP, BRUTAL SOUND OPEN PIPE + MERCED BENZ 21gears+2reverse AUTOMATIC RETARDERWala usiende Brazil wala Russia
wewe pakua hiyo Map ya Hondulandia uitupie Mod haina hata 1 MB
utanikuta mm nacheza na 1.37 version nakusubiri twende wote
huku speed mwisho 30km/h hiyo 150km/h ni Brazil na Europa
View attachment 1452905
hiyo Map isikie tu hakuna cha speed ni uendeshaji wako ndio unatakiwa hayo ma OPEN PIPE funga, gear box gear 30 weka Horse power zote weka haina maneno lkn karibu HodolandiaYan 30km/hr mbona ntaona sifaidi engine yangu 2400HP, BRUTAL SOUND OPEN PIPE + MERCED BENZ 21gears+2reverse AUTOMATIC RETARDER
mkuu kumi mbona nying tano ni kisangahiyo Map isikie tu hakuna cha speed ni uendeshaji wako ndio unatakiwa hayo ma OPEN PIPE funga, gear box gear 30 weka Horse power zote weka haina maneno lkn karibu Hodolandia
uliza walitumia Hondulandia, speed ni Brazil na Bara ulaya
km ulitumia Puno Peru ndio hivyo speed hahitajiki ni umakini km utamaliza kilomita 10 ww dereva wa ETS-2 Simulator kweli
yeah ram 4gb ina work fresh tu but usitie mod nyingMkuu achana na simujanja (Android)
tumia Computer hata km ina RAM 4GB
twende pamoja anza na version za chini km 1.35 au hata 1.37 zinacheza
Hiyo mitaa sio yangu mkuuMi additional map sina mood nazo kabisa,, labda tukutane czech republic uko au scandinavian countries huko
wewe hondura ile ya kb 700 ina support v 137?Wala usiende Brazil wala Russia
wewe pakua hiyo Map ya Hondulandia uitupie Mod haina hata 1 MB
utanikuta mm nacheza na 1.37 version nakusubiri twende wote
huku speed mwisho 30km/h hiyo 150km/h ni Brazil na Europa
View attachment 1452905
duh mm nina hamu naye huyu dereva wa maspeed Baba Nla jinsi atakapopita ju ya wiya au reli au lile box kwa 150 km/hmkuu kumi mbona nying tano ni kisanga
😂 😂 mzee wa moscow, poshknov russia
Ndio Mkuu yaani Mod zote kasoro nimekuta Puno Peru naona ninayo ya 1.35wewe hondura ile ya kb 700 ina support v 137?
ngoja aje akukwamue hapo mstuni but namwo nea huluma kwa mieleka na mizinga atakayo pambana nayoduh mm nina hamu naye huyu dereva wa maspeed Baba Nla jinsi atakapopita ju ya wiya au reli au lile box kwa 150 km/h
hizo sehemu wakongwe tunapita na speed 2km/h mpaka 5km/h
hebu mkaribisheni mm nipo msituni nimekwama kweny gogo namsubiri
daaah!! jaribu kucheza hondura ya v 136 ni kisanga ugumu umeongezeka * 2 zaidiNdio Mkuu yaani Mod zote kasoro nimekuta Puno Peru naona ninayo ya 1.35
kuna member aliweka mpya ya 1.36
kumbe kuna tofauti mm nilidhani wameongeza vitu vichache km resolution (rangi na mandhari ya picha) hapo natoka Hondulandia naelekea La mans basi nitarudi nyuma 1.36daaah!! jaribu kucheza hondura ya v 136 ni kisanga ugumu umeongezeka * 2 zaidi
no damage fast , money we tupia tuhavina shida maana nami ndo natumia toka kipind kilekumbe kuna tofauti mm nilidhani wameongeza vitu vichache km resolution (rangi na mandhari ya picha) hapo natoka Hondulandia naelekea La mans basi nitarudi nyuma 1.36
View attachment 1452950
nitaipata wapi hiyo Hondura nyingine, mm nilidhani ods ni zilezile, maana natumia zilezile km za Damage, Fast etc
km zimeongezwa na ile tren haipo tena yaani ni full mielekakumbe kuna tofauti mm nilidhani wameongeza vitu vichache km resolution (rangi na mandhari ya picha) hapo natoka Hondulandia naelekea La mans basi nitarudi nyuma 1.36
View attachment 1452950
nitaipata wapi hiyo Hondura nyingine, mm nilidhani ods ni zilezile, maana natumia zilezile km za Damage, Fast etc
kumbe ni mpya mm ninayo ile ya miji mitatu tukm zimeongezwa na ile tren haipo tena yaani ni full mieleka
Download ROTA With Profile zipkumbe ni mpya mm ninayo ile ya miji mitatu tu
na hapa Le Mans naingia kushusha mzigo on Time ndani ya version 1.37
naomba link ya hiyo Mods mpya ya Hondulandia isiyokuwa na reli maana unaweza kuta ni kati ya page zetu kuanzia 90 mpaka 120 ndio sikuwepo na mashine ilinisumbua
View attachment 1453000
on time we ni kiboko ni chuma gani hicho scania,volvo au benzkumbe ni mpya mm ninayo ile ya miji mitatu tu
na hapa Le Mans naingia kushusha mzigo on Time ndani ya version 1.37
naomba link ya hiyo Mods mpya ya Hondulandia isiyokuwa na reli maana unaweza kuta ni kati ya page zetu kuanzia 90 mpaka 120 ndio sikuwepo na mashine ilinisumbua
View attachment 1453000