Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
Haziwezi, mm niliingia 1.38 nikawa siwapati wenzanguHatimaye nimedownload version mpya ya Eurotruck Simulator version 1.38.....Naomba kujua hizo mods zaweza kussuport iyo version mpya..maps,,road
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
unachoweza kufanya ni kurudi Temporary 1.37 wakati ukiwasubiri wenzako na Mods za 1.38
ukiwa kwenye online steam mara nyingi wanakuuliza uingie version mpya ukiitika tu wankupeleka

