Fahamu jinsi ya kutengeneza ndege ya kichawi, kwenda kokote Duniani

Fahamu jinsi ya kutengeneza ndege ya kichawi, kwenda kokote Duniani

1-Wanajificha kwasababu uchawi ni ushetani, shetani hataki nuru na mambo yake huwa ni ya siri na unayatafuta mwenyewe.

2-Asilimia kubwa ya wachawi wanarithi kutoka kwa wazazi wao au watu wao wa karibu, ni ngumu wewe kwenda moja kwa moja ukapata uchawi, gharama yake ni kubwa sana kuununua, wengi wanarthishwa. Maisha ya uchawi ni maisha ya tabu, dhiki, na kukosa amani. Mchana huwa wanajuta lakini usiku hubadilika na kuwa mashetani na roho ya kibinaadamu hukaa pembeni. Wanayofanya usiku wanayafurahia kwa asilimia kubwa, na pia sio kwamba mchawi anawanga siku zote hapana, siku zingine anashindikiza wenzake tu katika mission mbalimbali.

3-Vitu hivyo vinapatikana center ndogo ya elimu ya uchawi 'Moto moto Museum'
Sasa apa mbn tutakoma
 
WAKATI baadhi ya watu wakiepuka kabisa mijadala kuhusu uchawi na kutilia shaka kuwepo kwake kwa sababu ya jamii zetu kupokea imani ya Kikristo, na imani ya Kiislamu, wengine tunaendelea kutafiti mambo hayo kinaga ubaga.

Huu ni Utafiti endelevu, lengo kuu ni kukujuza tu tasnia hii ya wachawi ilivyo, tunakujuza haya kutokana na matukio ya 'Kichawi yanavyo athiri maisha ya watu.

Moja ya rejea tunayotumia ni center ndogo ya kumbukumbu ya uchawi iliyopo 'Moto Moto Museum'

Miongoni mwa vielelezo vinavyopatikana huko ni kwamba uchawi ni elimu ya ushetani. Ukishakua mchawi maana yake wewe ni shetani na utatumia nguvu za shetani ambazo kamwe haziwezi kusimama katika ulimwengu wa nuru.

Vitu baadhi vinavyohitajika ili mchawi aweze kusafiri, leo tutazungumzia vitu viwili tu lakini vipo vingi sana.

1- 'Chishimba' (ni mafuta ya binadamu) mafuta haya anapaka usoni kila atakapo hitaji kuruka, akishapaka mafuta haya mchawi kamwe hawezi kuonekana wala hawezi kusikika wala hawezi kugusika.

2- Indeke (ndege ya kuruka) inayotumika kwa usafiri wa masafa marefu unaochochewa na damu ya binaadamu na majimaji ya sehemu za siri za mwanaadamu kama vile mbegu za kiume na maji ya ukeni (Huchanganywa kwa pamoja).

UCHAMBUZI WA MAFUTA YA BINAADAMU
Kwanini mchawi apake mafuta ya Binaadamu?

Kikawaida wao wanavyoeleza ni kwamba Mwanaadamu anamafuta aina mbili, moja ni mafuta mazito yanayopatika kwenye mishipa ya damu (Cholesterol) ni dutu ya nta inayopatikana katika damu ya mtu.

Mwili unahitaji Cholesterol ili kujenga seli zenye afya, lakini viwango vya juu vya kolesteroli vinaweza kuongeza hatari yako ya ugonjwa wa moyo. Katika uchawi inaaminika kwamba jini anayekuvaa mwilini ili akusafirishe katika giza, ataingia mwilini mwako pindi tu ukipaka hayo mafuta ya binaadamua ya 'Cholesterol' jini huyu atakusafirisha kwa kasi sana na atakufikisha popote unapotaka kwenda.

Mafuta mengine ni yale ambayo yapo nje ya mishipa ya damu ya mwanaadamu (Body Fatty) ambayo ni Mafuta ya mwili katika misuli ya mwanadamu, hivyo mchawi akipaka mafuta haya huingiwa na jini mwenye nguvu ambaye humsaidia kupata nguvu ya yeye kushiriki matendo yake ya kichawi. Cholesterol ni ya kusafiri, Body fatty ni ya kumpa mchawi nguvu. (Hayo ni masharti ya majini hao wawili).

Upatikanaji wa mafuta hayo?

Hayapatikani zaidi ya kuua mtu kisha kumbanika kwa kumchoma na kisha mafuta haya aina mbili huchujwa, na kugawanywa kila aina ya mafuta kwenye chupa lake.

Je! kama umeingia kwenye uchawi ni lazima uuwe ili upate hayo mafuta?

Hapana, sio lazima uuwe kwani yanapatika kwa kuuzwa kwenye vilinge vya wachawi ambapo gharama yake hufikia Tsh Milioni 8 hadi 10 kwa lita, ambayo yanaweza kudumu kwa miaka mingi kwa kadiri unavyotumia.

Pia sio binaadamu wote mafuta yao yanafaa kutumika, ni baadhi ya binaadamu ambao miili yao inasifa ambazo wao wanazijua. Mara nyingi wachawi wanaonekana ni masikini kwasababu pesa zao nyingi zinaishia huko.

Je! kama mchawi hana kiasi hicho cha pesa kwa ajili ya mafuta anafanyaje?

Ni rahisi sana, kwani anaweza kubebwa na wenzake wakaenda nae kuwanga pamoja. Huyu sasa atakua anapewa lifti na wenzake kwa kulipia gharama kidogo walau laki 1 hadi laki na nusu kwa safari.

Je! mafuta yakiniishia naweza kuuwa mtu nikambanika kama sitaki kununua?

Ndio, unaweza kuua mtu na ukamfanyia utaratibu huo kama unayo taaluma hiyo, hii ni kwasababu kuna kozi maalumu ya utengenezaji wa mafuta hayo, ambapo baadhi ya wachawi husomea namna ya kuchakata mafuta hayo, kama mchawi anaweza basi atafanya mwenyewe kwa kupata kibali maalumu kwa mkubwa wao, na kama hana taaluma hiyo basi atakwenda kununua kwenye kilinge cha mafuta.

UCHAMBUZI WA DAMU NA MAJIMAJI YA SEHEMU ZA SIRI

Kwanini sasa ndeke hiyo itumie damu ilihali tayari nimepaka mafuta ya binadamu na jini wa safari ameshanivaa?

Kwasababu ndeke ni chombo ambacho wewe utatumia kuwa juu yake baada ya jini kukuingi, jini anataka kukaa juu ya kitu ambacho kina uhai wa mwanaadamu ambayo ni damu, mbegu za uzazi na maji ya ukeni. Mchanganyiko huo ndio kama mafuta ya kafara ili jini aliyekuvaa aweze kukaa juu yake.

Napata wapi damu ya binaadamu?

Kwa kuua mtu ndio utaweza kupata damu ya binaadamu. Kwa namna gani? mchakato wake ni vilevile wakati wa kumbanika, basi damu hukusanywa kivyake.

Damu gani haswa inayohitajika?

Damu ya mtu yeyote inaweza kufanya kazi, lakini damu yenye kasi zaidi na inayopendwa zaidi na yenye gharama kubwa zaidi ni damu ya mtoto mchanga, ambayo huchanganywa na nyama ya kitovu cha mtoto mchanga pamoja na kondo la nyuma la uzazi baada ya kuzaliwa mtoto mchanga. Vinaweza kutoka kwa watoto tofauti au mtoto mmoja.

Damu hiyo ndio grade one, na yenye gharama kubwa sana haswa ikichanganywa na nywele za kwanza za mtoto mchanga alizo nyolewa na kucha zake za kwanza kukatwa.

Gharama ya damu iko vipi ikiwa nitahitaji kununua?

Kwakua damu inayohitajika huwa tayari imechanganywa na mbegu za uzazi na maji ya ukeni, gharama yake hufikia Tsh Milioni 3 - 4. Ikiwa ni damu ya mtoto mchanga ndio imetumika basi hufikia Tsh milioni 8-10 kwa lita1. Ambayo utaitumia kwa miaka mingi sana kulingana na matumizi yako.

Na vipi hayo majimaji ya uzazi na mbegu za kiume?

Majimaji hayo au mbegu hizo zinapatikana kwa wachawi kujamiina ya watu wakati wa usingizi. Nguvu hii ya wao kushiriki tendo na watu huipata kwa kutumia 'Mkanda wa ngozi wa chatu' ambao huvaliwa kiunoni na mchawi ambaye ana nia ya kufanya uzinzi na mke wa mtu mwingine au mume wa mtu wakati wanandoa wako kitandani. Mume au mke hupakwa mimea ili apate usingizi mzito huku mzinzi akilala kwa uhuru na mwenza wake. 'Ambapo kwa lugha ya sasa huitwa jini mahaba'

Hivyo ndivyo majimaji na mbegu huchukuliwa na kuchanganywa na damu ya binaadamu, na mafuta ya binaadamu hupakwa mwilini tayari kwa safari ya kuelekea popote.

Ufafanuzi wa picha;

picha na 1. hapa chini ni Helikopta nyeusi kwa chini kuna kopo leusi lenye mafuta ya mchanganyiko wa damu na majimaji ya uzazi.

View attachment 2787428

Picha na 2. helikopa nyingine utaona kabisa chupa lake la mafuta ya damu na majimaji ya uzazi liko pembeni.

View attachment 2787436

Sasa mchawi atakaa hapo juu baada ya jini wa safari kumvaa, kwa wale wanaotumia ungo zana hizo wanaziweka juu ya ungo.

Picha na 3. Hi ya duara ndio 'Mkanda wa ngozi wa chatu' hutumika kushiriki tendo la ndoa na watu wakiwa usingizini,

View attachment 2787441

Picha no 4, na hizo tube mbili ndio mafuta ya kupaka 'Body Fatty' na 'Cholesterol' huitwa 'Chishimba' kwa Pembeni ni nywele za mtoto.

View attachment 2787445


Utafiti unaendelea!
Nilishawahi kupewa Kisa Kimoja na Mganga wa Kienyeji, kisa ni kirefu...

Straight to the point alinambia Pesa inayotumika kwenye Ulimwengu wa Kichawi ni tofauti na Tunayotumia Duniani!

Kwamba kwenye Ulimwengu wa Kichawi, unakuta Binti wa Miaka 15, ina Pesa ya Kichawi inayofika 50 Millions....!

Na pia Wachawi wanapata hizo pesa kwa kutumikishwa na Wachawi wenzao kazi za Kichawi, kama kwenda kusaidia Kufukua Mtu makaburini, kusaidia kwenda kuwanga Majumbani, ama kutafuta Vitendea kazi vyao Mahospitalini.... Je Utafiti wako ni kweli!?
Miongoni mwa vifaa vinavyotumika kukusanyia pesa za wachawi ni 'Kambuma' (pembe ya Paa), ambayo hutumiwa kuiba pesa kutoka kwa watu. Pesa za kichawi hazitumiki uraiani.
Kwa nini pesa za kichawi zinaibwa kutoka Uraiani ila hazitumiki tena Uraiani!?
 
Sasa wanga wanajiusisha na mambo ya Giza na hawapatani na Nuru (mwanga)kwani ni wanaitwa mwanga/wanga na siyo jina linaloendana na mambo ya giza?
Pana mshirikina,mwanga, mchawi, shetani ni watu wawili tofaut wanatofautiana madaraja tu.
Mwanga ni level ndogo ukitoka mwanga unakuwa mchawi, ukitoka level ya mchawi unapanda daraja unakuwa shetani
 
Kwanini sijaiona?

Uchawi wenyewe nchi za nje nilizowahi kuishi wanauchukulia kuwa ni "dini na imani" pia.


Kiislam uchawi wa aina yeyote ile ni ushirikina, na kila mshirikina hana msamaha. Makao yake ni motoni tu na maulamaa wengi wanaamini mchawi anaanza kuuona moto kabla hajafa.

Mchawi Kiislam ni mfanya kufuru, kukufuru maana yake ni kuupinga Uislam (kujitoa katika Uislam). Ukimuona mtu anafanya uchawi au wanga anasema yeye ni Muislam huyo anacheza na akili za wajinga tu, siyo Muislam huyo.

Kama kumbukumbu zangu zipo sawa, kuna thread ulisema kuwa huamini sana habari za uwepo wa jehanum... Hapa naona kama upo positive sana nalo
 
1-Wanajificha kwasababu uchawi ni ushetani, shetani hataki nuru na mambo yake huwa ni ya siri na unayatafuta mwenyewe.

2-Asilimia kubwa ya wachawi wanarithi kutoka kwa wazazi wao au watu wao wa karibu, ni ngumu wewe kwenda moja kwa moja ukapata uchawi, gharama yake ni kubwa sana kuununua, wengi wanarthishwa. Maisha ya uchawi ni maisha ya tabu, dhiki, na kukosa amani. Mchana huwa wanajuta lakini usiku hubadilika na kuwa mashetani na roho ya kibinaadamu hukaa pembeni. Wanayofanya usiku wanayafurahia kwa asilimia kubwa, na pia sio kwamba mchawi anawanga siku zote hapana, siku zingine anashindikiza wenzake tu katika mission mbalimbali.

3-Vitu hivyo vinapatikana center ndogo ya elimu ya uchawi 'Moto moto Museum'
Hiyo Moto Moto museum ipo wapi? Kiingilio chake kikoje.
 
Fananua kidogo.

Kama ni hivyo mbona uswahilini pia wachawi wapo wanao wa kujilinda ila kutwa utasikia mama fulani ni mchawi amemfanyia uchawi mtoto wa mama fulani.

Maana yake ni kuwa walishajua ni mchawi sababu wanayo namna ya kujua wachawi na wengine wanasema walimkamata maybe usiku bibi fulani akiruka.

Lakini hayo huyakuti Oysterbay.?
Uchawi upo katikati ya tabaka la maskin sana. Wao ndo wanaendelza Mila kale na maendeleo yao mazito sana... Unawez kupata hela Leo ukaanza kuumwa kesho na huponi mpaka hela iishe
 
Mchawi ana dhuru na kuleta maafa kwa mtu, Mwanga hadhuru yeye hujifurahisha tu kuwachezea watu basi lakini hadhuru. Mtu anayeaminika kuwa na uwezo wa kuwaletea watu maafa kwa kutumia ushirikina huyo ndio mchwi. , Mwanga yeye anawangia watu, kuwanga ni kusambira (kuwanga kwa kuzunguka moto), ni michezo ya kichawi kwa kujifurahisha tu. Sio kila Mwanga ni Mchawi, lakini kila mchawi lazima awe mwanga.
Kuna baadhi y waganga wanawanga nao. Kuna waganga wana visa sana. Akikutibia anakuingiza kwenye mauza uza badala ya kupona yeye anakugeuza kuwa mteja wa kudumu
 
Huu utakuwa usafiri Bora kuwahi kutokea kwenye sekta ya usafirishaji,swali langu Je nitaruhusiwa kuendelea na shughuli zangu kesho yake mchana?
Kwenda marekani inabidi ule karanga za kutosha mana wese likikata njiani unapiga puri chapchap uliongezee. Mana mafuta ya ndege hiyo ni mbegu za kiume
 
Back
Top Bottom