Niambie wapi napata botwer og ba bei please. Supplier wangu kaniangusha kabisa...ya mwisho was not good, kama rays lolYaani wewe mimi kabisa na ngozi yangu ya mafuta ndio maana nimetulia kwenye boutour naona kidogo imeupenda uso wangu
Mtafute huyu insta jobellcosmetics ndio huxa nanunua kwake mara kwa mara anakuletea popote ulipoNiambie wapi napata botwer og ba bei please. Supplier wangu kaniangusha kabisa...ya mwisho was not good, kama rays lol
Serum inachangamsha kwenye lotion ngozi inazidi kuwa nzuriSerum zinasaidia nini? Na hazina madhara kwa ngozi? Elimu kidogo
Naomba nielekeze jinsi ya kutengeneza, kwa cold process.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Parachute au tengeneza mwenyewe(cold process)
Sent using Jamii Forums mobile app
nilikua napaka parachute mwili mzima nlikuwa na rangi yangu nzuri tu nkahamia kwenye botour nikawa mweupe nikaiacha nkapaka american dream promo nyingii ila ya kawaida labd haikunipenda ila niliona ya kawiada sana rafk ang mmoja akanishaur kupaka clinik clear nachangya na glycel ya kopo lile la njano nkamuona huyu shoga vp kwa nn asipake yeye akasema wenye ngz kam yang maji ya kunde ndo inawapendeza sana kaona watu km 3 ofsn kwao wametumia wana rangi nzur mnooo nkabisha akaninunulia mwenyew gharama yake ni kama elf 10 tu nkachkua nkaanza kupaka ivo ivo yan uku naogpa san mara rangi inanoga aisee nimekuwa mzur rangi ya chocolote sas iv nimeshtmia km kopo 3 😀 alf very cheap
Niambie wapi napata botwer og ba bei please. Supplier wangu kaniangusha kabisa...ya mwisho was not good, kama rays lol
Weeh😘..mnatengenezaje na kwakutumia NiniBinafsi na familia yangu tunatumia sauni tulizotengeneza wenyewe kwa kutumia Aunt Zaina Natural clay. Yaani hamna cha kipele,uwasho,gaga wala alama inabaki juu ya ngoziView attachment 1410602
LolPapuchi inafanana na uso! Utakua na bahati na ni adimu sana wewe.
harufu je?Hakuna siri ni mafuta ya nazi jamani! Unateleza had raha!..
haya madogo haya au kuna aina nyingine
hiyo kitu bado unatumia au imeisha?Mwanzoni nilikuwa napata tabu chunusi ndio ugonjwa wangu, Kuna mmama nilikutana naye akanisidia sielew kitu gani kile ila anadai anachanganya mayai, kitunguu na asali na paka mwili mzima jamani nimekuwa laini mpaka najitamani chunusi , kwarara zote hamna. Sabuni natumia ya jorjous .
ya nazi unayachanganya na mafuta mengine au unapaka yenyewe peke ake?Naogea sabuni ya lux,napakaa mafuta ya Vaselline cocoa radiant na ya nazi, japo siyapaki usoni.
hiyo pond lotion itabidi niitafuteNatumia ponds lotion for acne and dark spot maana mie mhanga wa chunusi, imenisaidia kwa kiasi kikubwa sana pia naogea dettol lemon
Sent using Jamii Forums mobile app
ngozi kavu ndo ipoje?Wenye ngozi kavu
Nimetumia hayo ya nazi, vaseline, cocoa butter lemon ya American dream lakini sijawahi kuona matokeo mazuri zaidi ya uso kupoteza nuru.
Msaada tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
nitakucheck aiseeKama uko Dar nikuelekeze kwa mtu mwenye duka la cosmetics alinisaidia sana. Nilikuwa na uso usio na shukran, amenipa losheni nzuri, unamwambia tatizo lako anakuchagulia losheni /body cream anayoona itakufaa kulingana na shida yako, nimekuwa soft sana, mpaka watu wananiuliza napaka nini... Amewasaidia pia rafiki zangu na wameona matokeo mazuri.
Kama uko mkoani anakusudia pia, kama ni bidhaa anakutumia kwa bus.
Ukiwa tayari nipm nikupe contacts zake