Fahamu jinsi ya kutunza ngozi, iwe yenye afya na inayovutia zaidi

Fahamu jinsi ya kutunza ngozi, iwe yenye afya na inayovutia zaidi

Yaani wewe mimi kabisa na ngozi yangu ya mafuta ndio maana nimetulia kwenye boutour naona kidogo imeupenda uso wangu
Niambie wapi napata botwer og ba bei please. Supplier wangu kaniangusha kabisa...ya mwisho was not good, kama rays lol
 
nilikua napaka parachute mwili mzima nlikuwa na rangi yangu nzuri tu nkahamia kwenye botour nikawa mweupe nikaiacha nkapaka american dream promo nyingii ila ya kawaida labd haikunipenda ila niliona ya kawiada sana rafk ang mmoja akanishaur kupaka clinik clear nachangya na glycel ya kopo lile la njano nkamuona huyu shoga vp kwa nn asipake yeye akasema wenye ngz kam yang maji ya kunde ndo inawapendeza sana kaona watu km 3 ofsn kwao wametumia wana rangi nzur mnooo nkabisha akaninunulia mwenyew gharama yake ni kama elf 10 tu nkachkua nkaanza kupaka ivo ivo yan uku naogpa san mara rangi inanoga aisee nimekuwa mzur rangi ya chocolote sas iv nimeshtmia km kopo 3 😀 alf very cheap

Tupiamo kapicha ka hiyo clinic clear, na anaetumia american dream pia..naona kama zipo tofuati tofauti sokoni
 
Binafsi na familia yangu tunatumia sauni tulizotengeneza wenyewe kwa kutumia Aunt Zaina Natural clay. Yaani hamna cha kipele,uwasho,gaga wala alama inabaki juu ya ngozi
WhatsApp Image 2020-04-06 at 8.21.45 AM.jpeg
 
Niambie wapi napata botwer og ba bei please. Supplier wangu kaniangusha kabisa...ya mwisho was not good, kama rays lol

Kuna kipindi kulikua na botoer feki wakina director joan walitaka muharibia Grace soko ila kwa sasa zipo Og nunua kwa mawakala wake
 
Mwanzoni nilikuwa napata tabu chunusi ndio ugonjwa wangu, Kuna mmama nilikutana naye akanisidia sielew kitu gani kile ila anadai anachanganya mayai, kitunguu na asali na paka mwili mzima jamani nimekuwa laini mpaka najitamani chunusi , kwarara zote hamna. Sabuni natumia ya jorjous .
hiyo kitu bado unatumia au imeisha?
 
Kama uko Dar nikuelekeze kwa mtu mwenye duka la cosmetics alinisaidia sana. Nilikuwa na uso usio na shukran, amenipa losheni nzuri, unamwambia tatizo lako anakuchagulia losheni /body cream anayoona itakufaa kulingana na shida yako, nimekuwa soft sana, mpaka watu wananiuliza napaka nini... Amewasaidia pia rafiki zangu na wameona matokeo mazuri.

Kama uko mkoani anakusudia pia, kama ni bidhaa anakutumia kwa bus.

Ukiwa tayari nipm nikupe contacts zake
nitakucheck aisee
 
Back
Top Bottom