Fahamu jinsi ya kutunza ngozi, iwe yenye afya na inayovutia zaidi

hivi hizi scrub za kwenye masaluni wanatumia mafuta ya asili hayo uliyoyataja au
 
e bwana eee!! mask ndo nini
 
chocolate kama hiyo kwenye dp?
 
napaka alovera jelly
baada ya nusu saa naondoa na maji
kama nipo nyumbani napaka mafuta ya nazi
kama natoka napaka lotion ya rinju ambaye ina mchanganyiko wa shea butter
ngozi inakuwa ya kung'aa inavutia na kupendeza
kwa nini unaondoa na maji?
 
Sabuni mshindi mafuta korie ila natamani nianze kutumia ya Nazi ila sijajua brand ipi ndo mazuri
 
Kwa promo hii muuzaji ni wewe mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weeh😘..mnatengenezaje na kwakutumia Nini
Sorry sauni ni nini? Or ulimaanisha sabuni
Sabuni hapo pichani natengeneza na namfundisha wengine kutengeneza ,tunatumia caustic soda, mise au mbosa, silicate na aunt zainab natural clay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…