snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,437
- 2,043
Wengi tumekuwa tukiona walinzi wa viongozi wakubwa wakibeba briefcase na kufikiri Huwa wanabeba documents lakini kazi kubwa ni zaidi ya kubeba documents.
Briefcase hutumika kama silaha na pia vile vile bullet proof wakati wa shambulio hatarishi linapotokea, na uwezo wa kuunfold ni within seconds.
Protection details zimejigawa kulingana na protocol ambazo wanatumia walinzi husika, kwahiyo usije ukajichanganya,
Briefcase ambayo Huwa ni silaha ndani yake hubeba bunduki za aina mbalimbali zenye uwezo wa kuhold risasi zaidi ya 30.