Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Hahahaha.Mwakani ni 2025.
Najua ulikuwa hujui, chukua hiyo.
Hili neno sio geni hapa mjini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha.Mwakani ni 2025.
Najua ulikuwa hujui, chukua hiyo.
Kwetu inakuwa ngumu kwasabu ya teknolojia, hao jamaa Wana body scanner plus street cameras,Angalia na msafara wa kiongozi unavyoheshimu walipa Kodi kwenye nchi za wenzetu.
View attachment 3188016
Jichanganye tu umewah shuhudia crew ya msafara wa kiongozi yeyote mkubwa wakipakia au kupakua mizigo hasa akiwa anasafir airport?Briefcase za Hawa wa kwetu Huwa na pesa ili kutoa rushwa kwenye makongamano Yao ili waendelee kubakia madarakani
Kama yaliyomkuta MWENDA ZAKE! Alikuwa anatoka Dodoma kwenda Chato, kwa njia ya barabara, kwa gharama kubwa sana! Magari zaidi ya 60. Karibia nusu yake, ni ya ulinzi. Angani, Helkopta mbili, ambazo nazo zinafuata mwendo wa magari. Lakini….waaaapiiiii, JOGOO AKAFA KWA UTITIRI!Siku ikifika haijalishi briefcase au bullet proof ni siku yako tu
Wengi tumekuwa tukiona walinzi wa viongozi wakubwa wakibeba briefcase na kufikiri Huwa wanabeba documents lakini kazi kubwa ni zaidi ya kubeba documents.
Briefcase hutumika kama silaha na pia vile vile bullet proof wakati wa shambulio hatarishi linapotokea, na uwezo wa kuunfold ni within seconds.
View attachment 3187997
Protection details zimejigawa kulingana na protocol ambazo wanatumia walinzi husika, kwahiyo usije ukajichanganya,
View attachment 3187995
Briefcase ambayo Huwa ni silaha ndani yake hubeba bunduki za aina mbalimbali zenye uwezo wa kuhold risasi zaidi ya 30.
View attachment 3187994
Yesu asema,sikutumwa ila kwa kondoo wa nyumba ya Israeli,,upande mwingine asema mnataka kuniua mimi MTU nk nk,,hivyo mnakosea sana kumfananisha au kumuita yesu ni mungu.Asante kwa taarifa
Ulinzi bila YESU KRISTO ni bure kabisa
Ni kweli,lkn tahadhari mhimu mkuu.Siku ikifika haijalishi briefcase au bullet proof ni siku yako tu
Sio mahususi Kwa kuzuia sniper attack ila sniper akikosa shabaha begi laweza tumika kuzuia further attack.Nadhani ni lazima uwe umewiva sana kutumia hilo begi.maana snipers wanaweza kukudungua na begi lako umelishika liskashindwa kufunguka.
Tatizo hatuna capacity ya kuwa na silaha zinazoweza kuwa launched Kwa code. Wenzetu Mfano USA briefcase hutumika pia kama detonator.Naamini ile ya mama muda wote inakuwa na mkeka wa pdf...