Zipo made in Chinese zinaanzia $250, ila zenyewe zinacheza $700+++ price ambayo ni affordable and you need trained details ambao even single gesture will treat it as a threat.Asante. Umenifungua macho.
Kaka yangu Lissu nunua briefcase. Acha kuvaa vizibao kama wavaa makobazi
Hizi za kichina zinaweza zikakushangaza.Zipo made in Chinese zinaanzia $250, ila zenyewe zinacheza $700+++ price ambayo ni affordable and you need trained details ambao even single gesture will treat it as a threat.
Nikupe jambo jingine ujifunze kabla mwaka hujapinduka zaidi?Nimeongeza jambo jipya kichwani kabla mwaka haujapinduka
Ndio, mwaga tulishambulieNikupe jambo jingine ujifunze kabla mwaka hujapinduka zaidi?
MILELE AMINA MTUMISHTumsifu Yesu kristo 🙌
Mwakani ni 2025.Ndio, mwaga tulishambulie
Lakini cha kwanza ni briefcase kama shield kinachofuata ni human shield kwahiyo ikipita kwenye briefcase inamkuta aliye unfold, mana walinzi wako tayari kufa ili wamlinde kiongozi/VIP, nazani uliona wakati wanamshambulia trump, haeakutumia briefcase wale secret service walitumia human shield japo I hope walivaa bullet proof vest.Hizi za kichina zinaweza zikakushangaza.