Coma ni ile hatua ya mwisho ya kupepea uhai wa mgonjwa aliye kufa awali (Collecting life from early dead)!
Hizi ni harakati za kitabibu za kuendeleza uhai uliotwaliwa kwa kutumia mitambo maalum ya kupumulia ( oxygen ventilator's)
Ifahamike mgonjwa anapofariki awali, baadhi ya viungo kama ubongo hubaki hai kwa muda wa siku 5 hadi 10 kabla ya kuharibika!
Hatua hii ya ubongo kubaki hai kwa muda, husaidia kufanikisha zoezi la mtu kuwekwa kwenye COMA kabla ya viungo kuharibika!
Katika hatua hiyo ya Coma, pamoja na vipimo vya mapigo ya moyo, macho, mwili kuonyesha mgonjwa kafariki dunia, mwili wake huwekewa mashine maalum inayofanya kazi mithili ya upumuaji wa kawaida!
Hivyo mwili huendelea kupatiwa mzunguko muhimu wa hewa (oxygen ventilation) pamoja na mashine nyingine inayofanya kazi kuzungusha damu kuusaidia moyo!
Je; Ni hatua gani mtu anatakiwa awekwe kwenye Coma?
Ziko hatua NNE mhimu ambazo mtu aliyepo kwenye Coma hupitia kabla ya kutangazwa rasmi kafariki dunia!
Hatua 1. Mfu Mahututi (unresponsiveness) katika hatua hii mtu anakuwa hajitambui, haoni, wala hahisi kitu chochote kinachoendelea, hatua hii ndipo daktali hupima macho, moyo n.k na kugundua viungo vyote vimesimama!
Hatua 2. Early response, Hatua hii ndiyo hutazamiwa kurejesh majibu chanya au hasi kwasababu ndiyo huwa chansi ya mwisho ya mtu kuzinduka, katika hatua hii, mtu aliyekwenye coma pamoja na kwamba mwili unakuwa haujitambui, inatamkwa kitaalam kwamba masikio ndiyo huweza kuanza kuzinduka kusikia kwasababu ubongo unakuwa bado hai ingawa mtu huyo wakati huo anakuwa bado hawezi kuona, kuhisi wala kutikisika!
Hatua 3. Agitated and confused
Hatua hii huwa haitabiliki, ni hatua ambayo hata mitambo huchanganya signal kwa kufail, lakini katika matukio ya kushangaza mtu huyo anaweza kupiga miayo au kukohoa lakini haina maana kuzinduka la hasha!
4. Hatua ya 4. Higher level of response!
Hatua hii ndiyo mtu huweza kuzinduka, katika hatua hii kwa mbali mapigo huanza kupiga kwa mbali kusaidiana na mashine! Ambapo ikiendelea ndipo mtu kuzinduka na kuwa hai tena!
Zingatio; inatamkwa kwamba ni asilimia ndogo sana (01%~02%) mtu aliyepoteza uhai kuweza kuurejesha kwa njia hiyo, na Mara chache hii hufanikiwa kidogo kwa wagonjwa waliokufa (pre-death confirm) kwa mshituko au ajali wakiwa karibu na huduma hii ya kitabibu! Lakini vinginevyo ni miujiza tu itokee!
Je; zoezi la COMA huendelea hadi lini?
Katika hatua hizo nne za kupepea uhai, ni lazima kuwepo mabadiliko tangu hatua ya kwanza, kwasababu ubongo huendelea kufa taratibu wakati harakati hizo zikifanyika!
Ambapo inatajwa kuwa siku 5 hadi 10 kama hakuna mabadiliko yoyote ya hatua, basi ubongo unakuwa umekufa kabisa ambapo hauwezi tena kufufulika na kutambua chochote!
Baada ya siku hizo kama hakuna mabadiliko ya hatua basi zoezi hilo huwa limegonga mwamba kinachobakia huwa ni kuzika tu!