Fahamu kidogo kuhusu mtu aliyekufa kwenye "Coma" kama anaweza kuzinduka

Fahamu kidogo kuhusu mtu aliyekufa kwenye "Coma" kama anaweza kuzinduka

Mtoto wa Whitney Houston, Bobi Christina alikaa kwenye Coma miezi sita baada ya drug overdose Hadi ndugu zake wakaomba mashine izimwe apumzike kwa amani.
Hata miaka 20 wangeweza kumuweka!
Kwasababu mitambo ndiyo unakuwa inazungusha damu na hewa! Lakini ubongo baada ya mda unakufa
 
Eriel Sharo waziri hayati waziri mkuu wa Israel kama sikosei tuliambuwa yupo kwenye coma na tulisubiri kwa zaidi ya miaka mitatu kutangazwa kuwa kafa.

Je, kuna uwezejano wa kukaa kwenye coma kwa miaka kadhaa?

Pili ina faida gani kwa mgonjwa ikiwa uwezekano wa kurudi kwenye hisi haupo?
 
Eriel Sharo waziri hayati waziri mkuu wa Israel kama sikosei tuliambuwa yupo kwenye coma na tulisubiri kwa zaidi ya miaka mitatu kutangazwa kuwa kafa.
Je kuna uwezejano wa kukaa kwenye coma kwa miaka kadhaa?
Pili ina faida gani kwa mgonjwa ikiwa uwezekano wa kurudi kwenye hisi haupo?
Anaweza kukaa kwenye coma hata kwa miaka kadhaa! ..faida ni kuutunza mwili usioze! Lakini ubongo ukishakuwa umekufa hakuna matarajio mrngine ya kupona
 
Kuna yule Waziri Mkuu wa Israel aliwekwa muda mrefu sana kwenye hicho kifaa, je alipitia hatua gani kati ya hizo nne lakini hiyo limit ya siku 5 hadi 10 ilipita na jamaa wakaendelea kumuweka kwenye coma?!
Waliamuwa kumuweka lakini hakukuwa na hizo stage za kupona! Walimhifadhi kwenye stage namba moja pasipo matumaini
 
Kuna mchezaji wa soccer alikaa kwenye COMA kwa miaka miwili na akarudi tena kwenye uhai
Huyo hakuwa kwenye Coma, usichanganye Coma na life support aliyowekewa Tundu lissu!
Ubongo ukifa ndo basi tena
 
Anaweza kukaa kwenye coma hata kwa miaka kadhaa! ..faida ni kuutunza mwili usioze! Lakini ubongo ukishakuwa umekufa hakuna matarajio mrngine ya kupona
Sasa mkuu vp kuhusu kujisaidia inakuwaje na mtu yupo kwenye coma hali ya kuwa hawezi kula wala kufanya chochote sasa inshu ya kujisaidia aja kubwa wanakuwa wamemuwekea kachoo au kaotipoti au inakuwaje na vp kuhusu kuoza mwili mana coma si anakuwa keshakufa tayali hapo inakuwaje mkuu
 
Nimegundua kumbe kwa masikini walioko huko vijijini ambapo hakuna vituo vya kufanyiwa uchunguzi, kam oxygen ventilators n.k.. wengi huwa wanazikwa wakiwa hai katk hali hii ya Coma.
Hata mm mimeliona hili sasa kama ubongo unakufa baada ya siki tano ina maana unaweza kuzikwa ukiwa bado na hisia
 
Kwa wenzetu waislam wanaozika muda mchache baada ya kufa unaweza zika mtu akiwa bado na hisia zake...ubongo ukiwa mzima
 
Sasa mkuu vp kuhusu kujisaidia inakuwaje na mtu yupo kwenye coma hali ya kuwa hawezi kula wala kufanya chochote sasa inshu ya kujisaidia aja kubwa wanakuwa wamemuwekea kachoo au kaotipoti au inakuwaje na vp kuhusu kuoza mwili mana coma si anakuwa keshakufa tayali hapo inakuwaje mkuu
Kujisaidia ni metabolism baada ya mtu kula vitu vigumu vinavyochakatwa na kubaki makapi!
Anapokuwa kwenye Coma hali chakula hicho! Kila kitu analishwa kupitia dawa! Na mkojo anawekewa mrija
 
Hata mm mimeliona hili sasa kama ubongo unakufa baada ya siki tano ina maana unaweza kuzikwa ukiwa bado na hisia
Mtu aliyekufa hana hisia hizo! Labda unamaanisha ubongo ukiwa hai
 
Hivo Ariel Sharon alikaa kwenye mashine kwa muda gani vile? Kwa kumbukumbu zangu ni zaidi ya miaka 7....
Unachosema huenda ni kweli,

Nyepesi nyepesi Ni kwamba mama wa marehemu nae Yuko coma mwaka wa 5 Sasa.
 
Kuna mchezaji wa soccer alikaa kwenye COMA kwa miaka miwili na akarudi tena kwenye uhai
Nani uyo nitafute taarifa zake, na anakua ktk Hali gan baaada ya hapo?
Chakula anakua anakulaje,anajisaidiaje? N.k

Ufafanuz tafadhali
 
Ni gharama Kia's gan kumhudumia mgonjwa alie kwenye coma kwa sikU?
 
Kujisaidia ni metabolism baada ya mtu kula vitu vigumu vinavyochakatwa na kubaki makapi!
Anapokuwa kwenye Coma hali chakula hicho! Kila kitu analishwa kupitia dawa! Na mkojo anawekewa mrija
Kwa hiyo huyu mtu viungo vingine kama ini, figo vinaendelea kufanya kazi?
 
Back
Top Bottom