Fahamu kidogo kuhusu mtu aliyekufa kwenye "Coma" kama anaweza kuzinduka

Sasa ukiwa kwenye iyo coma nywele zinaota kweli au unalishwa chochote? Vipi kujisaidia hiyo nayo ipoo? Kama havipo vipi matumbo si yatakauka sasa?
 
Hazioti mkuu...mimi Baba yangu (RIP) alipozidiwa siku moja kabla hajawekwa kwa koma tulimnyoa nywele za kichwa na ndevu...kesho yake akazidiwa akaingia kwa coma. Alikaa miezi kadhaa sikuona nywele wala ndevu ikikua. Hata kucha. Kama zilikuwa kwa kiasi kidogo sana.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Dah!, pole sana ndugu
 
Sasa ukiwa kwenye iyo coma nywele zinaota kweli au unalishwa chochote? Vipi kujisaidia hiyo nayo ipoo? Kama havipo vipi matumbo si yatakauka sasa?
Maiti zilizopo makaburini zinaota nywele na kucha sembuse wewe uliyepo kwenye coma
 
Back
Top Bottom