Hata miaka 20 wangeweza kumuweka!Mtoto wa Whitney Houston, Bobi Christina alikaa kwenye Coma miezi sita baada ya drug overdose Hadi ndugu zake wakaomba mashine izimwe apumzike kwa amani.
ππKwaiyo anaweza kufufuka?
Hataki kunipa jibu πππ
Anaweza kukaa kwenye coma hata kwa miaka kadhaa! ..faida ni kuutunza mwili usioze! Lakini ubongo ukishakuwa umekufa hakuna matarajio mrngine ya kuponaEriel Sharo waziri hayati waziri mkuu wa Israel kama sikosei tuliambuwa yupo kwenye coma na tulisubiri kwa zaidi ya miaka mitatu kutangazwa kuwa kafa.
Je kuna uwezejano wa kukaa kwenye coma kwa miaka kadhaa?
Pili ina faida gani kwa mgonjwa ikiwa uwezekano wa kurudi kwenye hisi haupo?
Waliamuwa kumuweka lakini hakukuwa na hizo stage za kupona! Walimhifadhi kwenye stage namba moja pasipo matumainiKuna yule Waziri Mkuu wa Israel aliwekwa muda mrefu sana kwenye hicho kifaa, je alipitia hatua gani kati ya hizo nne lakini hiyo limit ya siku 5 hadi 10 ilipita na jamaa wakaendelea kumuweka kwenye coma?!
Huyo hakuwa kwenye Coma, usichanganye Coma na life support aliyowekewa Tundu lissu!Kuna mchezaji wa soccer alikaa kwenye COMA kwa miaka miwili na akarudi tena kwenye uhai
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF bhana raha sanaKwaiyo anaweza kufufuka?
Mazali kama haya niyakukupata ukiwa 70+wee funga mdomo wako huijui kesho..hiyo ni siri ya Mungu
Sasa mkuu vp kuhusu kujisaidia inakuwaje na mtu yupo kwenye coma hali ya kuwa hawezi kula wala kufanya chochote sasa inshu ya kujisaidia aja kubwa wanakuwa wamemuwekea kachoo au kaotipoti au inakuwaje na vp kuhusu kuoza mwili mana coma si anakuwa keshakufa tayali hapo inakuwaje mkuuAnaweza kukaa kwenye coma hata kwa miaka kadhaa! ..faida ni kuutunza mwili usioze! Lakini ubongo ukishakuwa umekufa hakuna matarajio mrngine ya kupona
Hata mm mimeliona hili sasa kama ubongo unakufa baada ya siki tano ina maana unaweza kuzikwa ukiwa bado na hisiaNimegundua kumbe kwa masikini walioko huko vijijini ambapo hakuna vituo vya kufanyiwa uchunguzi, kam oxygen ventilators n.k.. wengi huwa wanazikwa wakiwa hai katk hali hii ya Coma.
Hataki kunipa jibu πππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF bhana raha sana
Kujisaidia ni metabolism baada ya mtu kula vitu vigumu vinavyochakatwa na kubaki makapi!Sasa mkuu vp kuhusu kujisaidia inakuwaje na mtu yupo kwenye coma hali ya kuwa hawezi kula wala kufanya chochote sasa inshu ya kujisaidia aja kubwa wanakuwa wamemuwekea kachoo au kaotipoti au inakuwaje na vp kuhusu kuoza mwili mana coma si anakuwa keshakufa tayali hapo inakuwaje mkuu
Mtu aliyekufa hana hisia hizo! Labda unamaanisha ubongo ukiwa haiHata mm mimeliona hili sasa kama ubongo unakufa baada ya siki tano ina maana unaweza kuzikwa ukiwa bado na hisia
Unachosema huenda ni kweli,Hivo Ariel Sharon alikaa kwenye mashine kwa muda gani vile? Kwa kumbukumbu zangu ni zaidi ya miaka 7....
Nani uyo nitafute taarifa zake, na anakua ktk Hali gan baaada ya hapo?Kuna mchezaji wa soccer alikaa kwenye COMA kwa miaka miwili na akarudi tena kwenye uhai
Kwa hiyo huyu mtu viungo vingine kama ini, figo vinaendelea kufanya kazi?Kujisaidia ni metabolism baada ya mtu kula vitu vigumu vinavyochakatwa na kubaki makapi!
Anapokuwa kwenye Coma hali chakula hicho! Kila kitu analishwa kupitia dawa! Na mkojo anawekewa mrija