China hakuweza sema ukweli maana alitaka janga liishe mapema arudi kwenye biashara maana yeye tu ndio alikua akisumbuka na hilo gonjwa. Katudanganya weee mwisho wa siku nchi zingine zikaanza shika.
Mgonjwa wa kwanza Italy katokea Iran, Mgonjwa wa Iran katokea China.
Unasema amepeleka msaada wa madakatari, kapeleka madakatari 9 tu. Je 9 wataweza population ya watu 60mil?
Sent using
Jamii Forums mobile app
Kuhusu China kusema ukweli au kudanganya hilo sina ufahamu nalo.
Mimi shida yangu iko kwenye reason unayoitoa
Kwamba Italy anaweza kurecord idadi kubwa ya vifo kuliko China. Hivyo china anadanganya.
Kuna mifano ya nchi nyingi ambazo zimereport first cases mapema kuliko Italy lakini hadi sasa idadi ya maambukizi na vifo iko chini ukilinganisha na Italy.
Mfano Thailand, ndio nchi ya kwanza kureport first case nje ya China, January 13 2020.(Italy first cases was reported on 31Jan 2020).
Achana na Thailand. South Korea, (nchi ambayo imepewa Sifa na vyombo habari vya Magharibi, jinsi wanavyohandle hili suala.)
Walireport kisa cha kwanza Jan 20 2020. Hadi leo idadi ya maambukizi na vifo iko chini kuliko Italy.
Labda utuambie nchi hizo zinadanganya pia. Italy pekee ndio anasema kweli.
Tofauti na hapo njoo na evidence nyingine.
Italy kuwa na idadi kubwa ya vifo au maambukizi sababu zinaweza kuwa ni.
# health system kuelemewa na idadi ya wagonjwa.
#Government kuchelewa kuchukua hatua stahiki kwa wakati.
#kuna scientific report zinadai wenda SARS cov-2 aliyeko Italy ni deadly kuliko aliyeko sehemu nyingine.
#Wengine wanadai ni kwasababu italy ina idadi kuwa ya wazee.
NB. Wagonjwa(2) wa kwanza nchini Italy walitokea China sio Iran, walikuwa watalii wenye uraia wa China. 31Jan
Mgonjwa wa tatu, alikuwa raia wa Italy, alitokea Wuhan, China.
Beggars can't be choosers