Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NEWS ALERT: US president tests NEGATIVE for coronavirus
US President Donald Trump was tested for the coronavirus and the result was negative. [White House]
Ugonjwa utadumu mwaka mzima mpaka mwakani mwezi wa tatu.Ni moja ya document ya shirika moja la siri la uingereza imeeleza hayo.tujiandae mami kwa maelfu kuambukizwa, kama hatutakuwa makini.
Kuhusu China kusema ukweli au kudanganya hilo sina ufahamu nalo.China hakuweza sema ukweli maana alitaka janga liishe mapema arudi kwenye biashara maana yeye tu ndio alikua akisumbuka na hilo gonjwa. Katudanganya weee mwisho wa siku nchi zingine zikaanza shika.
Mgonjwa wa kwanza Italy katokea Iran, Mgonjwa wa Iran katokea China.
Unasema amepeleka msaada wa madakatari, kapeleka madakatari 9 tu. Je 9 wataweza population ya watu 60mil?
Sent using Jamii Forums mobile app
China hakuweza sema ukweli maana alitaka janga liishe mapema arudi kwenye biashara maana yeye tu ndio alikua akisumbuka na hilo gonjwa. Katudanganya weee mwisho wa siku nchi zingine zikaanza shika.
Mgonjwa wa kwanza Italy katokea Iran, Mgonjwa wa Iran katokea China.
Unasema amepeleka msaada wa madakatari, kapeleka madakatari 9 tu. Je 9 wataweza population ya watu 60mil?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na muda huo hatimaye umefika...The devil is close to TZ now, more than ever...
Wabongo(sio serikali bali wananchi) ni muda sasa wa kujiandaa...it's bout time Drizzle,
Kwa maelezo ya waziri ukichanganua huyu mama ashaambukiza watu na wa kwanza aliposhuka akachukua usafiri gani? Hao alosafiri nao wameshuka wangapi? Vipi gari iliyomtoa hospital je pesa alizoshika kuwalipa hotelini je? Je funguo je alokuwa anafanya usafi chumbani kwake hotelini je? Je hao watu waliomzunguka katika safari zqke za ndani hadi anaumwa wana hali gani wamekutana na watu wa hali ipi hiki kisa kama cha corea tuu
Namba lazima zitaongezeka ni kama kenya walifatilia mlolongo wa watu waliokaribiana na mtu wao wakawekwa karantini na kukutwa na corona sembuse huyu maza kajiweka karantini mwenyewe sina hakika na maelezo yakeNa muda huo hatimaye umefika...
Wito kwa kila mmoja wetu kuchukua tahadhari sana sana...
In the next few days tutaona namba ikiongezeka (Mungu aepushilie mbali), trend ambayo imekuwa kawaida kwa nchi zilizofikwa na hili janga
Wakuu naomba kujuzwa mtu wa kwanza mweusi Mwenye asili ya Afrika kufariki kwa corona.!
Je kuna ukweli kuwa virus hawa hawana athari kubwa kwa watu weusi ukifananisha na wenye ngozi nyeupe?
Sikusudii kuleta hoja ya ubaguzi wa rangi lakini natamani kujua.
Ahsanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaishi nae kisela,uyo mama aseme amekutana na wangapi msako uanze chumba chake kipigwe dawa,ikiwezekana wahudumu wa hotel nao wawekwe karantini,iyo uba aliopanda yani sasa ivi mgeni anakinukisha