Mwanamke huyo alitoka Ubelgiji na alikuwa anaishi kwenye nyumba ambapo kuna mwanaume alipata virusi vya corona, baadae aliamua kurudi nchini na alipopimwa uwanja wa KIA alionekana mzima hana maambukizi kisha akaamua kujitenga na kujiweka karantini yeye mwenyewe na kukaa hotelini. Baadae akaanza kujisikia vibaya na kuamua kwenda hospitali ambapo alipopimwa akathibitika kuwa na virusi vya corona
-Ummy Mwalimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi sijasikia mtu mweusi yeyote aliyekufa kwa covid-19 mpaka sasa. Ni kweli virus vya corona havina madhara makubwa kwa weusi, hasa wazaliwa wa Afrika
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke huyo alitoka Ubelgiji na alikuwa anaishi kwenye nyumba ambapo kuna mwanaume alipata virusi vya corona, baadae aliamua kurudi nchini na alipopimwa uwanja wa KIA alionekana mzima hana maambukizi kisha akaamua kujitenga na kujiweka karantini yeye mwenyewe na kukaa hotelini. Baadae akaanza kujisikia vibaya na kuamua kwenda hospitali ambapo alipopimwa akathibitika kuwa na virusi vya corona
-Ummy Mwalimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maelezo ya waziri ukichanganua huyu mama ashaambukiza watu na wa kwanza aliposhuka akachukua usafiri gani? Hao alosafiri nao wameshuka wangapi? Vipi gari iliyomtoa hospital je pesa alizoshika kuwalipa hotelini je? Je funguo je alokuwa anafanya usafi chumbani kwake hotelini je? Je hao watu waliomzunguka katika safari zqke za ndani hadi anaumwa wana hali gani wamekutana na watu wa hali ipi hiki kisa kama cha corea tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaishi nae kisela,uyo mama aseme amekutana na wangapi msako uanze chumba chake kipigwe dawa,ikiwezekana wahudumu wa hotel nao wawekwe karantini,iyo uba aliopanda yani sasa ivi mgeni anakinukisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ngumu sana kuweza kubaini idadi ya watu aliyokutana nao. Je ni wangapi? Je wanafahamika? Kuna namna ipi ya kuweza kuwapata hawa wote aliokutana na kukaribiana nao?
Hii ni laana kwa utawala wa mabavu wa ccm na wanachama wake, Mungu ataliangamiza Taifa na sisi sote kama hamtahacha unyama mnaoendelea kuutekeleza kupitia Tpdf. Police, NEC, prison, mahakama, TISSFuatilia link hapo chini kuona maambukizi mapya, waliopona na waliofariki kutoka sehemu mbalimbali ikiwemo tanzania.
Coronavirus Update (Live): 174,614 Cases and 6,685 Deaths from COVID-19 Virus Outbreak - Worldometer
View attachment 1390177
View attachment 1390180
ili si janga la dunia mkuu? hata vinara wa demokrasia na haki za bin adam wameupata!!Hii ni laana kwa utawala wa mabavu wa ccm na wanachama wake, Mungu ataliangamiza Taifa na sisi sote kama hamtahacha unyama mnaoendelea kuutekeleza kupitia Tpdf. Police, NEC, prison, mahakama, TISS
Sent using Jamii Forums mobile app
Nami nangoja wajuvi nimepagawa kabisa Mungu atusaidie maan mmh
Hakuna uthibitisho wa Kisayansi juu ya hilo.Mi sijasikia mtu mweusi yeyote aliyekufa kwa covid-19 mpaka sasa. Ni kweli virus vya corona havina madhara makubwa kwa weusi, hasa wazaliwa wa Afrika
Sent using Jamii Forums mobile app