Watery
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 2,718
- 3,471
Inshort ni kasha ambukiza watu wengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke huyo alitoka Ubelgiji na alikuwa anaishi kwenye nyumba ambapo kuna mwanaume alipata virusi vya corona, baadae aliamua kurudi nchini na alipopimwa uwanja wa KIA alionekana mzima hana maambukizi kisha akaamua kujitenga na kujiweka karantini yeye mwenyewe na kukaa hotelini. Baadae akaanza kujisikia vibaya na kuamua kwenda hospitali ambapo alipopimwa akathibitika kuwa na virusi vya corona
-Ummy Mwalimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app