Fatality rate mbona kama ipo chini sana tofauti na panic ya watu mkuu?UPDATE: COVID-19 Duniani
Hadi hivi sasa, idadi ya visa vilivyothibitishwa ulimwenguni kote imefikia 173,955. Kati ya hivyo, vifo ni 6,686.
Wagonjwa wapatao 77,520 wametibiwa na kupata ahueni huku visa vipatavyo 89,749 duniani, bado havijapatiwa ufumbuzi.
Hiyo ni kulingana na takwimu rasmi.
Kweli mkuu. Tumekumbwa kama na hofu tu flani kubwa sana kuliko uhalisia.Fatality rate mbona kama ipo chini sana tofauti na panic ya watu mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani malaria licha ya kuwepo na tiba pamoja na njia za kujikinga lakini kwa mwaka inaua watu mpaka laki 5 ila tunaiona ya kawaida na hata hatukumbuki kulala na vyandarua,Kweli mkuu. Tumekumbwa kama na hofu tu flani kubwa sana kuliko uhalisia.
Nitazileta muda mchache ujao.Mkuu FRANC THE GREAT tafadhali naomba nikusumbue tena kama unaweza kutupa updates nzima kwa nchi za Afrika
Kifuatacho ni economic depression.Hali ni mbaya sana kwa mashirika ya ndege duniani
Virgin Airlines wamewaomba wafanyakazi wachukue likizo ya miezi minne bila malipo
BA wamepunguza sana usafiri
Norwagin nao hawako nyuma
Flight zote kwenda Italy wamesitisha
Watu wengi watakosa kazi kuanzia April na kuendelea
Hali ni mbaya Ulaya
Sent from my iPhone using Tapatalk
Mkuu hawa wanaokata moto Africa je ni wazungu tu au mpk blacks?UPDATE: Barani Afrika
Hadi sasa, visa vipatavyo 376 vimethibitishwa barani Afrika kwa ujumla.
Mataifa ya Afrika yapatayo 29 yameripoti visa vya COVID-19 katika nchi zao huku Misri ikiwa kinara kwa kuripoti visa vingi zaidi barani Afrika mpaka kufikia sasa.
Idadi ya visa vyote hadi sasa;
- Misri: Visa 126 vikiwemo vifo viwili (2). Wagonjwa 26 wamepata ahueni
- Afrika Kusini: Visa 62 hadi sasa
- Algeria: Visa 54 vikiwemo vifo viwili (2). Wagonjwa nane (8) wamepata ahueni
- Morocco: Visa 28 vikiwemo vifo viwili (2). Mgonjwa mmoja (1) pekee amepata ahueni
- Senegal: Visa 26. Mpaka sasa, wawili (2) wamepata ahueni
- Tunisia: Visa 16. Mgonjwa mmoja (1) amepata nafuu
- Burkina Faso: Visa 15 hadi sasa
- Ghana: Visa sita (6) hadi sasa
- Rwanda: Visa vitano (5) hadi sasa
- Ethiopia: Visa vitano (5) hadi sasa
- Cameroon: Visa vinne (4) hadi sasa
- Ivory Coast: Visa vinne (4) hadi sasa
- Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC): Visa vitatu (3) hadi sasa
- Shelisheli: Visa vitatu (3) hadi sasa
- Kenya: Visa vitatu (3) hadi sasa
- Nigeria: Visa viwili (2). Mgonjwa mmoja (1) amepata ahueni
- Namibia: Visa viwili (2) hadi sasa
- Togo: Kisa kimoja (1) hadi sasa
- Gabon: Kisa kimoja (1) hadi sasa
- Guinea: Kisa kimoja (1) hadi sasa
- Mauritania: Kisa kimoja (1) hadi sasa
- Sudan: Kisa kimoja (1) hadi sasa ambacho pia ni kifo cha kwanza (1) nchini humo
- Eswatini/Swaziland: Kisa kimoja (1) hadi sasa
- Guinea ya Ikweta: Kisa kimoja (1) hadi sasa
- Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR): Kisa kimoja (1) hadi sasa
- Kongo: Kisa kimoja (1) hadi sasa
- Liberia: Kisa kimoja (1) hadi sasa
- Tanzania: Kisa kimoja (1) hadi sasa
- Somalia: Kisa kimoja (1) hadi sasa
Taarifa zaidi zitafuata!
Kifuatacho ni economic depression.
Asante sana mkuu
Tatizo ni kuwa spreading yake ni very fastYaani malaria licha ya kuwepo na tiba pamoja na njia za kujikinga lakini kwa mwaka inaua watu mpaka laki 5 ila tunaiona ya kawaida na hata hatukumbuki kulala na vyandarua,
Huu ugonjwa bado haujapatiwa dawa lakini ndani ya miezi 4+ fatality ni 7000 kasoro ila tunauogopa sana.
Sijui kwa sababu mkubwa kasema?
Sent using Jamii Forums mobile app
"Wanaokata moto" kwa maana ya kupoteza maisha.
Kama ilivyo ada, zitakuwepo.FRANC THE GREAT sion update ya USA si vifo wala maambukiyi mapya! Kwambaje wameudhibiti ama wanaficha?
Doto mkali umerudi makambako sasa!?Hakika Akili ni nywele kila mtu ana zake!
Wakati dunia inahangaika na kutapatapa kujinasua na Corona!
Zipo tuhuma kwamba virusi hivi vilitengenezwa na watu ili kukidhi haja zao!
Wakati dunia inahangaika kutafuta tiba kumbe kuna kamati ya roho mbaya inatapanya ugonjwa usambae dunia nzima!
Watu wanalipwa madola kuuvusha ugonjwa huu mataifa ya mbali, watu wanapakaza na kuambukiza wenzao kwa makusudi kutimiza lengo n.k
Kiufupi Adui wa mtu ni mtu
Hapo ndipo zao la Donor fund project linapoibua FAIDA kwa mataifa!
Pamoja na kilio cha mataifa changa kutokuwa na pesa kupambana na ugonjwa huu wa Corona!
Lakini tukumbuke kwamba Mvua njoo katarina njoo!
Watu kupitia ugonjwa huu watapiga pesa ndefu!
Hadi Corona itakapoisha kuna watu watakuwa wametajirika ajabu!
Inauma sana kwa upande mwingine!
Nimetafta mtoto wa kiume kwa miaka kumi na tano paspo mafanikio!; hatimae nimebahatika mwaka huu inauma sana kusikia kuna CORONA !
......BINADAM WABAYA SANA....