ighalamu
JF-Expert Member
- Dec 26, 2019
- 393
- 643
Fatality rate mbona kama ipo chini sana tofauti na panic ya watu mkuu?UPDATE: COVID-19 Duniani
Hadi hivi sasa, idadi ya visa vilivyothibitishwa ulimwenguni kote imefikia 173,955. Kati ya hivyo, vifo ni 6,686.
Wagonjwa wapatao 77,520 wametibiwa na kupata ahueni huku visa vipatavyo 89,749 duniani, bado havijapatiwa ufumbuzi.
Hiyo ni kulingana na takwimu rasmi.
Sent using Jamii Forums mobile app